Author: Jamhuri
Luwongo alilia hati ya mashitaka
Khamisi Luwongo (Meshack) mwenye umri wa miaka 38, mtuhumiwa wa mauaji ya kuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani, ameendelea kufanya vituko mahakamani. Vituko hivyo vilianza baada ya Wakili wa Serikali, Simon Wakyo, kuiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,…
Tuache unafiki kuhusu haki za wanawake
Kumbe muda wote nilikuwa sikielewi kile kinachoongelewa kuhusu haki za kina mama, nimekuwa nikijiuliza ni kitu gani kinachoitwa haki za wanawake? Muda wote nimejiuliza ni haki gani zinazodaiwa na wanawake? Sikupata jibu! Sababu niliamini kwamba wanawake wanapata haki zao kulingana na…
Haijapata kutokea!
Ule usemi kuwa ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni nadhani una mantiki. Duniani mishangao inatokea kila leo. Nani alifikiria mwanasiasa kama Nape Nnauye atakuja kuomba msamaha? Kwa kosa lipi? Na kwa dhamira gani? Mimi nilipigwa butwaa pale jioni Jumanne ya…
Tusilazimishwe kumshutumu Robert Gabriel Mugabe
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Alisemwa na atasemwa sana, si kwa mema ila kwa mabaya. Nianze na mabaya yake. Aliongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 baada ya uhuru wa nchi hiyo akiwa amerithi uchumi…
Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (2)
Toleo lililopita tuliishia aya isemayo: “Mahakama ilikubali hoja hii ya Wakili Erick na kumpa ushindi kwa hoja hii. Kumbuka huyu Erick ndiye anayetajwa kuongoza mchakato wa kuzuiwa kwa Airbus Afrika Kusini.” Sasa endelea… Kukamatwa ndege Baada ya maombi ya serikali kutupwa kama…
MAISHA NI MTIHANI (46)
Ukibadili maana ya maisha unabadili maisha yako Maana ya maisha ni mtihani. Ukiyapa maisha maana ya kuishi, utabadili maisha yako. Maisha ni kuishi. “Tunaishi mara moja, lakini mara moja ukiitendea haki inatosha,” alisema Joe E. Lewis. “Ukitaka kuaga dunia ukiwa…