Author: Jamhuri
Mafanikio katika akili yangu (2)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Kila siku Noel alikuwa anaitwa ofisini kwa mhasibu, kusoma kwake kulikuwa kwa shaka, hakuwa na furaha. Aliishi kwa wasiwasi muda wote alipokuwa shuleni. ‘Nitafanyaje, nitafanyaje?’ ndilo lilikuwa swali lake kila mara kijana Noel….
Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (1)
Jina Barnaba Classic pengine si geni masikioni mwako! Huyu ni mwanamuziki na si msanii kama wanavyoitwa wengine, maana ameenea kila idara inayokidhi mwanamuziki kuitwa hivyo. Unaweza kusema Barnaba Classic ni almasi iliyong’arishwa na Tanzania House of Talents (THT), maana yeye anasema alizaliwa…
Tuwekeze, tushindane CAF
Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika huingiza kwenye akaunti zaidi ya dola milioni 1.5. Si fedha chache, na ni chanzo cha mtaji wa timu nyingi zinazobeba taji hilo. Klabu kama TP Mazembe inawalipa mshahara wachezaji kutoka mataifa mengi ya…
Ridhiwani matatani
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umemfurusha Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika nyumba ya serikali anayoishi jijini Dodoma, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umethibitisha. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kwamba mbunge huyo alishindwa kukamilisha…
Hakuna Ebola, tuchukue hadhari – Serikali
Serikali imewaondoa wasiwasi wananchi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa ugonjwa wa Ebola nchini. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ametoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam kutokana na taarifa…
Adanganya apate hati ya kifo
Juliana Philipo, mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amedanganya katika Kituo cha Polisi Kigamboni ili asaidiwe kupata hati ya kifo cha ‘mumewe’. Aliwaambia polisi kwamba amepoteza kibali kilichotumika kusafirisha mwili wa mzazi mwenzake, Charles Reuben, aliyefariki dunia Julai 28,…