Author: Jamhuri
Mwisho wa kutoa matunzo ya mtoto ni miaka mingapi?
Matunzo ya mtoto hasa kwa wazazi waliotengana, ni pamoja na chakula, makazi, mavazi, elimu, pamoja na malezi bora. Wazazi wote kwa pamoja – yaani baba na mama wanao wajibu kila mmoja kwa nafasi yake kuchangia katika matunzo ya mtoto. Aidha,…
Kupanga ni kuchagua
Mtaalamu wa saikolojia, Dk. Joshua Grubbs, alifanya utafiti katika Chuo Kikuu cha Western Reserve kutaka kujua sababu inayowafanya watu wengi wasifanikiwe kutimiza malengo waliyojiwekea katika maisha yao. Moja ya sababu kubwa aliyogundua ni kuishi bila malengo, hili ni jambo lililo…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (1)
Kupanga ni kumaliza mwaka kabla hujauanza Kupanga ni kuvuka daraja kabla ya kulipita, kupanga ni kukata kanzu kabla mtoto hajazaliwa. Kupanga ni kuhesabu mayai kabla ya kutagwa. Kupanga ni kuweka bati kwenye paa kabla ya mvua kunyesha, ni kuchimba kisima…
Kwa mfumo huu Rais ataendelea ‘kulia’
Baada ya panguapangua mkoani Morogoro iliyogusa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na Mkurugenzi wa Maendeleo (DED) wa Wilaya ya Malinyi, nikakumbuka makala niliyoiandika takriban miaka miwili iliyopita. Kwenye makala hiyo nilisema Charles Keenja aliongoza vizuri…
Mtanzania usivunje nchi yako
Mabeberu hawawezi kuhujumu na kudhulumu utu na uchumi wa Mtanzania bila kibali cha Watanzania. Kibali hiki hutolewa na Watanzania wachache vibaraka wenye uroho na tamaa ya ukubwa na utajiri wa haraka haraka. Mimi na wewe, Mtanzania mwenzangu wa karne hii,…
Yah: Tupunguze msongo
Kwanza, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wote waliokuwa nasi katika kipindi cha mpito wa magumu ya kifo cha mwenzetu, Godfrey Dilunga. Miji na kaya zetu zimezizima kwa baridi ya simanzi kutokana na kifo chake. Hili limetokea kama ambavyo sisi wenye…