JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kongole EWURA utekelezaji mkakati wa nishati safi kwa vitendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepongezwa kwa kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia kwa vitendo kwa kuweka mfumo wa huduma hiyo katika shule ya Sekondari Morogoro na Kituo cha…

Baraza la Mawaziri kujiendesha kidijitali

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi. Amesema kuwa maboresho hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki…

Wadau wa maendeleo Tanga wakutana kujadili mustakabali wa maendeleo ya Sekta ya Maji

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Waziri wa Maji Jumaa Aweso na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wamefanya kikao kazi cha kimkakati na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Wabunge wa Mkoa wa Tanga kwa lengo la kujadili mustakabali wa sekta…

TPA yaanza kwa kishindo michuano ya SHIMMUTA

Timu za mpira wa miguu na netball za iMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) zimeanza vyema kampeni za kutetea mataji yao baada ya kuzibugiza bila huruma timu za Tume ya Madini na Tume ya Nguvu za Atomic jijini Tanga….

Coast City Marathon kurundima Novemba 30, kuchangia miundombinu shule yaPangani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani unatarajia kuandaa mbio za Coast City Marathon zinazotarajiwa kufanyika Novemba 30, 2024, zikiwa na lengo la kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani iliyopo katika Halmashauri ya Mji Kibaha. Huu…