Author: Jamhuri
Haya ndiyo malipo kwa wazalendo?
Januari 28, 2016: Wafanyakazi wa TanzaniteOne waliuandikia notisi uongozi wa mgodi huo kupitia Chama cha Wafanyakazi Mgodini (TAMICO) baada ya haki na masilahi yao kukiukwa na mgomo huo ulipaswa kuanza Februari 1, 2016. Hata hivyo mgomo huo haukufanikiwa baada ya…
TPA: Hakuna kulala bandarini, mteja chukua mzigo wako saa 24/7
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau wake wa bandari imeboresha na kurahisisha upakiaji, upakuaji na utoaji wa mizigo katika bandari zake. Uboreshaji huo umefanyika na unaendelea kufanyika kwa sababu bandari ni lango kuu la biashara…
Baba utufundishe kutafakari
Ndugu Rais, tunasoma katika Biblia Takatifu kuwa wanafunzi wake Bwana Yesu walimwambia, “Mwalimu utufundishe kusali kama Yohani Mbatizaji alivyowafundisha wafuasi wake”. Yesu akawajibu akawaambia, “Mnaposali salini hivi; Baba yetu uliye Mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike, utakalolifanyike duniani kama…
JAMHURI mmemtendea haki Dilunga
Safari ya mwisho hapa duniani ya aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la JAMHURI, Godfrey Dilunga, imehitimishwa wiki iliyopita baada ya mwili wake kuhifadhiwa katika makaburi ya Bigwa, mkoani Morogoro. Dilunga alifariki dunia alfajiri ya Septemba 17, 2019, baada ya kusumbuliwa kwa…
kumkumbuka Mwalimu Nyerere
Oktoba 14, 2019 itatimia miaka 20 tangu Mwalimu Julius Nyerere alipofariki dunia. Tangu afariki imekuwa desturi kwamba, kunapokaribia kumbukizi ya kifo chake, tunashuhudia ongezeko la matukio yaliyojaa kumbukumbu za maisha yake. Vyombo vya habari hurudia hotuba na nukuu zake au…
Mwisho wa kutoa matunzo ya mtoto ni miaka mingapi?
Matunzo ya mtoto hasa kwa wazazi waliotengana, ni pamoja na chakula, makazi, mavazi, elimu, pamoja na malezi bora. Wazazi wote kwa pamoja – yaani baba na mama wanao wajibu kila mmoja kwa nafasi yake kuchangia katika matunzo ya mtoto. Aidha,…