Author: Jamhuri
Maono ya Mwalimu Nyerere hayapingiki
Septemba 7, mwaka huu kwenye jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, kulifanyika Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere –miaka 20 tangu alipofariki dunia. Wasomi na watu mashuhuri mbalimbali walitoa mada. Miongoni mwao ni Samuel…
Ada hewa zavuruga chuo Hai
Udanganyifu wa ada za wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai unaodaiwa kufanywa na mhasibu wa chuo hicho akishirikiana na mtunza fedha wa ELCT SACCOS umeigharimu Benki ya CRDB na SACCOS hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya,…
Marekani wathibitisha hakuna ebola
Wiki moja tangu serikali itoe tamko kwamba hakuna ugonjwa wa ebola hapa nchini, Shirika la Afya Duniani (WHO) na kitengo cha kupambana na magonjwa kutoka nchini Marekani (CDC), wamethibitisha kwamba hakuna mlipuko wa ugonjwa huo. Uthibitisho huo umekuja siku chache…
Miaka 4 bado Rais John Magufuli hatujamwelewa?
Kuna mambo kadhaa mawili yaliyotokea katika Jiji la Dar es Salaam yenye kuakisi udhaifu wa baadhi ya watendaji katika serikali na idara zake. Hivi karibuni Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushitukiza katika machinjio ya Vingunguti jijini humo na kustaajabu…
NINA NDOTO (36)
Nitaifanyia nini nchi yangu? Kila kukicha, kila eneo ninakopita nasikia watu wakilalamika nakusema nchi yao haijafanya hiki, au serikali haijawafanyia kile. Lakini je, ni watu wangapi wanawaza kufanya kitu fulani kwa ajili ya nchi yao? Ni mara ngapi umewaza kuifanyia…
Kwaheri Dilunga, pengo halizibiki
Wiki iliyopita tumepata pigo. Mhariri wetu wa Gazeti la JAMHURI, Godfrey Dilunga, amefariki dunia Septemba 17, 2019. Namshukuru Mungu tulipata fursa na nafasi ya kufanya kazi na Dilunga. Dilunga aliajiriwa JAMHURI Media Ltd Februari 1, 2019. Kabla ya hapo alifanya…