Author: Jamhuri
Tuwe macho katika uchumi wetu
Kuna njama za kuhujumu utu wa mtu na uchumi wa Mkoa wa Morogoro. Njama ambazo zinatekelezwa usiku na mchana na baadhi ya watumishi wa umma wakishirikiana na vibeberu uchwara waliomo mkoani humo. Mkoa wa Morogoro una ardhi ya rutuba kwa…
Yah: Urasimu kwa wasomi ni pigo
Kwanza napenda kuwashukuru wote waliotupatia pole ya msiba wa kijana aliyetoweka katika ulimwengu wa habari, mwenye nguvu ya kazi na mweledi wa kile alichokuwa akifanya. Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi na hatuna namna nyingine zaidi ya kushukuru kwa kila jambo. Katika…
Mafanikio katika akili yangu (3)
Toleo lililopita katika sehemu ya pili tuliishia aya isemayo: “‘Dah! Biashara hii sasa mbona inaendelea kufilisika?’ aliwaza kichwa kikawa na msongo wa mawazo. Siku hiyo ilikuwa ngumu kwa Mama Noel kutengeneza pombe nyingine, kwa kuwa hakuwa na pesa hata senti moja….
Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (2)
Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anakumbuka kwamba baba yake hakuwahi kumkubali katika kazi yake ya muziki hadi siku alipopata mwaliko wa kwenda Ikulu na kwenda na baba yake, hapo mambo yakaanza kubadilika ndani ya familia. Endelea…
Wanaotusifu, wanatuua
Miaka kadhaa iliyopita Simba ilifungwa na Enyimba magoli 3-1 katika Uwanja wa Uhuru. Simba ilizidiwa sana na timu hiyo kutoka Nigeria. Kwenye ufundi pamoja na stamina wachezaji wa Enyimba walikuwa wako imara kuwazidi wachezaji wa Simba. Baada ya mechi kumalizika,…
Nani kuchomoka?
Uamuzi wa Rais John Magufuli, wa kuwataka Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) na Wakili Mkuu wa Serikali (SG) kupitia kesi za watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji ili kuwaachia huru walio tayari kurejesha fedha, umepokewa kwa shangwe kubwa…