Author: Jamhuri
Baba ulimi wangu ugandamane na taya zangu
Ndugu Rais, imani yangu ni nchi yangu kwanza! Tangu mwanzo wa nyakati hadi utimilifu wake mimi si lolote, si chochote, bali sauti ya mtu aliaye kutoka jangwani ikisema: “Watumikieni watu wa Mungu, wananchi wa nchi hii.” Naililia nchi yangu, nawalilia…
Wameumbuka, wataendelea kuumbuka!
Baada ya kupata Uhuru nchi nyingi za Afrika na Tanzania yetu ikiwamo, wapo wananchi hawakuamini wala kuthamini ule utawala wetu wa wazawa. Yapo bado mawazo ya uzungu-uzungu na tamaa ya wasomi kutambuliwa kama Wazungu. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakuchoka…
Huduma kwa Watanzania vijijini ni duni
Watanzania tunaoishi vijijini tuna wajibu wa kutetea maslahi yetu. La sivyo ni rahisi sana kusahaulika. Sababu kubwa ya mwito huu ni wingi wetu. Inakadiriwa kati ya asilimia 66 hadi 80 ya Watanzania wote tuko vijijini. Shida zetu zinaweza kuwa zinafanana…
Kupanga ni kuchagua (2)
Toleo lililopita tuliishia aya isemayo: “Mwenyezi Mungu hakukuumba kwa bahati mbaya, kwa Mungu hakuna bahati mbaya, Mungu hana bahati na sibu.” Sasa endelea… Mfalme Daudi alimtukuza Mungu kwa kusema: “Ninakusifu (Mungu) kwa kuwa nimeumbwa kwa namna ya ajabu, ya kutisha’’…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (2)
Weka pamba masikioni usisikilize maneno yanayoua mawazo mapya Mawazo ni muhimu katika kupanga. “Kupata wazo jipya lazima kuwe kama kukalia pini; lazima likufanye uruke na kufanya kitu fulani,” alisema E. L. Simpson. Jambo kubwa linaanza likiwa wazo dogo. Jogoo wanaowika…
Tusiache viwanja vya Jangwani vitoweke
Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam umebeba historia muhimu katika taifa letu. Mikutano kadhaa kipindi kile cha harakati za kudai Uhuru ilifanyika hapo. Jangwani imeendelea kujizoea umaarufu hata baada ya Uhuru. Mikutano mingi mikubwa imeendeshwa Jangwani. Mikutano ya kisiasa…