Author: Jamhuri
Dk. Salim Ahmed Salim ninayemjua!
Vijana wengi wa leo hapa nchini kwetu hawajui juu ya mambo aliyoyafanya Mwanadiplomasia huyu mahiri Dk. Salim Ahmed Salim. Dhumuni la makala hii si kuandika wasifu wa Dk. Salim, bali kuwajuza vijana nini alichofanya akiwa na umri mdogo sana. Haijawahi…
Ardhi Temeke kikwazo
Zaidi ya kesi 100 za migogoro ya ardhi zimekwama kutolewa hukumu katika Baraza la Ardhi Wilaya ya Temeke kwa sababu ya kukosa printer na vifaa vingine muhimu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, mmoja wa walalamikaji hao, Aidan Amon, ambaye ni miongoni mwa…
‘Ukipita mwendokasi jela’
Wewe ni dereva? Umewahi kuendesha gari lako binafsi au pikipiki kwenye barabara ya mwendokasi? Sasa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limeanza kufanya operesheni ya kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wote wanaokiuka taratibu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Kamanda wa…
Tushirikiane kupigana vita ya uchumi nchini
Rais John Magufuli amekuwa akisisitiza mara kwa mara kuwa Tanzania na Watanzania si maskini. Na kwa sababu hiyo anawataka wananchi wasijione kuwa ni maskini, badala yake wajione kuwa ni matajiri kwa sababu wamejaliwa rasilimali zote. Tunaungana na Rais Magufuli tukiamini…
NINA NDOTO (38)
Maisha yanabadilika, watu wanabadilika Siku si nyingi zilizopita nilikutana na rafiki zangu niliosoma nao kuanzia darasa la sita hadi kidato cha nne. Ilikuwa siku ya furaha sana kwani kuna watu sikuwahi kuonana nao tangu tukiwa shule. Kila mtu alionyesha…
MIAKA 60 NGORONGORO
Kicheko cha maji Kitongoji cha Oldonyoogol Maji ni miongoni mwa kero kubwa zinazowakabili maelfu ya wananchi wilayani Ngorongoro. Kwa kutambua kuwa wananchi wa eneo hili ni wafugaji, mahitaji ya maji ni ya kiwango cha juu mno. Jiografia ya Ngorongoro…