JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Miaka 20 Bila Mwalimu Nyerere

‘Hii ilikuwa aibu kubwa sana’ Tukiwa tungali katika kumbukizi ya “Miaka 20 bila Nyerere”, tumekuwa tukikumbushwa mambo mengi juu ya Mwalimu. Gazeti moja limekuwa linatoa historia ya Mwalimu Nyerere katika nafasi mbalimbali. Gazeti moja limetoa kisa kile walichokiita “Nyerere apata msukosuko”. Ni msukosuko…

Acha rushwa itakupeleka motoni

Uislamu ni mfumo kamili wa maisha yote ya mwanaadamu uliopangika kimwili na kiroho. Mafunzo ya Uislamu yanamfikisha mwanaadamu katika kuyajua yatakayomfaa hapa duniani na kesho akhera. Uislamu umeyaharamisha kwa nguvu kubwa yale yenye kuleta madhara ya kiroho na kimwili kwa…

Siku nilipoitwa ofisini kwa Mwalimu…

Mwalimu anaumwa? Ni swali linalotuumiza. Hatuamini. Walio karibu wanazo taarifa, lakini wanatakiwa wawe watulivu maana kusambaza taarifa za ugonjwa wa Mwalimu kungeweza kuibua taharuki kwa maelfu na kwa mamilioni ya Watanzania waliompenda. Mwalimu ametoka Butiama Septemba 23, 1999. Amewasili Msasani…

Tusimuenzi Nyerere kwa kuchagua

Kwa mara nyingine wiki hii nchi imesisimka na hoja kubwa ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni wiki ambayo taifa, Bara la Afrika na dunia wanakumbuka maisha ya kiongozi huyu wa kupigiwa mfano. Kumbukumbu hizi zinajikita…

Yanga itazidi kudumaa

Unatazama taarifa za habari za michezo za Ulaya, unasoma juu ya uwekezaji mkubwa unaofanywa na matajiri wa Urusi na Uarabuni. Siku moja ya uhai wako inapita ukiwa na afya njema, kesho asubuhi unatazama tena runinga na kukutana na habari ya…

Singasinga ‘anyooka’

Sethi na Rugemarila wanakabiliwa na mashitaka 12 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi nyaraka, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola za Marekani  22, 198,544.60 na…