JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwandishi wa habari katika jela ya Eritrea kwa miaka 23 ashinda tuzo ya haki za binadamu

Mwandishi wa habari aliyefungwa katika jela ya Eritrea kwa miaka 23 bila kushtakiwa ameshinda tuzo ya haki za binadamu ya Sweden kwa kujitolea kwake kwa uhuru wa kujieleza. Dawit Isaak, ambaye ana uraia wa Eritrea na Sweden, alipewa Tuzo ya…

CCM: Tunawaomba wagombea wetu waliokatwa kuwa wavumilivu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani chama kinaamini haki itatendeka kwa vyama vyote. CPA Makalla aliyasema hayo…

Machafuko ya kisiasa yaripotiwa kuelekea uchaguzi wa wabunge Senegal

Nchini Senegal, kuelekea uchaguzi wa wabunge siku ya Jumapili, muungano wa mashirika 46 ya kiraia unaonya kuwepo kwa ongezeko la machafuko ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni.. Mashirika ya kiraia yanayofuatilia mwenendo wa kampeni hizo katika maeneo mbalimbali ya…

Moalin aikimbia KMC

Na Isri Mohamed Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC, Abdihamid Moalin Amewaaga rasmi wachezaji wake baada ya mazoezi ya jana na kuwaweka wazi kuwa hatakuwa sehemu ya walimu wao tena. Moalin ambaye ameifundisha KMC kwa misimu miwili kwa mafanikio makubwa,…

Mali zilizotokana na dawa za kulevya zataifishwa Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Zaidi ya sh. 900,000,000 zimetaifishwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar na kuwa mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutokana na kupatikana kwa njia ya haramu. Akitoa taarifa kwa…

Trump ameushinda mkono wa fitina

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Bukoba Rais mteule wa Chama cha Republican, Donald Trump, si tu ameshinda urais katika uchaguzi uliofanyika Novemba 5, 2024, bali pia ameushinda mkono wa fitina. Trump baada ya kumaliza urais mwaka 2020, amefunguliwa kesi zaidi ya…