JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nchi ilivyopigwa

Wizara ya Madini imetoa takwimu za mapato ya madini zinazoonyesha nchi ilivyoibiwa kwa miongo mingi.  Waziri wa Madini, Doto Biteko, amesema wakati Serikali ya Awamu ya Tano inaingia madarakani miaka minne iliyopita, mapato yaliyotokana na mauzo ya madini yalikuwa Sh…

Mawaziri na ‘majipu kwapani’

Mpita Njia (MN) anakumbuka alipokuwa mdogo mama yake alimwambia kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mtu yeyote mpe kimoja, viwili au vyote kati ya hivi: pesa, pombe au madaraka. Kwa umri alionao Mpita Njia, hahitaji ushuhuda wa maneno hayo ya…

Rais nisaidie, nimebambikiwa kesi ya ugaidi

Mheshimiwa Rais John Magufuli, nachukua fursa hii kukushukuru na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya na umri mrefu ili uweze kuendelea kuwatumikia Watanzania, hasa wanyonge wa nchi yetu.  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana namna unavyoshughulikia changamoto mbalimbali mpaka ninafurahi,…

Mafuriko yawatesa wakazi wa Bunju ‘B’

Zaidi ya wakazi 300 wa Mtaa wa Bunju ‘B’ jijini Dar es Salaam wamo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ya mlipuko baada ya vyoo na nyumba zao kuzingirwa na maji yaliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni. Akizungumza na JAMHURI,…

Dk. Shein: Tutaendelea kushirikiana na China

Zanzibar imeihakikishia China kwamba itaendelea kuthamini uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya nchi hizo mbili pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, wakati alipofanya mazungumzo na Naibu Waziri  wa…

Ufisadi aliouona Muhandiki KCU 1990 Ltd wadhihirika

Misemo ya wahenga ina mengi ya kufundisha, na mingi hutabiri yanayotokea kwenye jamii. Mfano, msemo kwamba panapofuka moshi chini kuna moto, una maana yake.  Msemo huo umejionyesha ndani ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kagera, KCU (1990) Ltd baada ya mwanachama…