Author: Jamhuri
Makonda aungwa mkono
Taasisi na watu binafsi wameendelea kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo. Wiki iliyopita Ubalozi wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa Sh milioni 27…
Waliopigana Vita Kuu ya Pili walia ugumu wa maisha
Chama cha Wazee Waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia wameziomba asasi za kiraia kuwasaidia katika mapambano ya kudai haki zao ambazo wangependa wazipate kabla hawajapoteza maisha. Akizungumza na JAMHURI, Katibu Mkuu wa chama hicho, Steven Chacha, amesema wakijitokeza wadau…
KIJANA WA MAARIFA (1)
Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu sana. Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda. Maarifa yatakufanya…
Mikopo elimu ya juu si hisani
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imekwisha kutoa awamu mbili za mikopo kwa baadhi ya wanafunzi walioomba. Mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 Sh bilioni 450 zimetengwa kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wanaoanza mwaka wa…
Ana kwa ana na Rais Nyerere (4)
Swali: Unasema kuwa umma hauna nguvu hasa, hii ni kweli, lakini pia ni hatari kubwa kutoa madaraka kwa umma wakati uongozi hauna imani na jambo hilo. Mifano ya Obote na Nkrumah na viongozi wengine wa Kiafrika inaonyesha haya wazi. Hii…
Taasisi ya MOI katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Magufuli
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) ni Taasisi pekee bobezi katika matibabu ya Mifupa, ajali, upasuaji wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kati. Ikiwa na umri wa miaka 23 Taasisi hii…