Author: Jamhuri
Wanawake wajasiriamali kunolewa Dar
Kongamano kubwa litakalowawezesha wanawake kuunda mtandao wa wajasiriamali kutoka maeneo yote nchini litafanyika mapema mwezi ujao. Waandaaji wa kongamano hilo, Open Kitchen chini ya asasi ya Amka Twende, wameeleza kuwa zaidi ya wajasiriamali 300 wanawake kutoka vikundi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki…
Kiingereza chapigiwa debe
Imeelezwa kuwa msingi mzuri wa lugha ya Kiingereza kwa watoto wanaosoma shule za awali zinazotumia lugha hiyo ni moja ya sababu za wanafunzi wengi wanaotoka katika shule hizo kufanya vema zaidi kitaaluma kwenye madarasa ya juu. Wakizungumza mjini hapa, baadhi…
Serikali yaiangukia Benki ya Dunia
Serikali imeiomba Benki ya Dunia kusaidia rasilimali fedha ili kuwezesha utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali. Ombi hilo limetolewa hivi karibuni jijini New York nchini Marekani na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokutana na…
Dodoma lajipanga kuwa jiji salama zaidi Afrika
Takriban miaka miwili baada ya Rais John Magufuli kuvunja Mamlaka ya Kuendeleza Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuitangaza Dodoma kuwa jiji Aprili mwaka huu, ujenzi wa miundombinu ya kisasa, zikiwamo barabara mpya unaozingatia viwango vya kimataifa, ulianza kwa kasi ukilenga…
Ndugu Rais, jicho halijitazami
Ndugu Rais, bendi ya muziki ina ala nyingi. Wakati mwingine muziki unapigwa tangu mwanzo hadi mwisho na msikilizaji asisikie ala fulani ikijitokeza. Baba Phillip Mangula ni mtu wa pili kwa nguvu katika Chama chetu Cha Mapinduzi. Lakini chama na serikali…
Kifo ni faradhi si kete ya ushindi
Kifo ni mauti, ni hilaki. Ni tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai. Ni tendo la lazima kutokea kwa binadamu. Kwa hiyo kila nafsi itaonja mauti. “Inna Lilah Wainna Lilah Rajuun.” Yaani, sisi wote ni waja wa Mwenyezi Mungu…