Author: Jamhuri
SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ
Bila mama yake angekuwa wapi? (2) Baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari mwaka 2006, mwaka uliofuata – 2007, Diamond akajikita rasmi katika shughuli za muziki ili kujaribu kutimiza ndoto zake. Hata hivyo, hakupata mserereko kama ambavyo alitarajia, kwani alipitia…
Tunahitaji nini kutoka kwa Samatta?
Mbwana Samatta ndiye staa wa Tanzania kwenye soka. Ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Hili halina ubishi. Kama unataka kupinga hili, unaruhusiwa. Hakuna ubishi kwamba kwenye kikosi cha Taifa Stars, Samatta ndiye mchezaji aliyepiga hatua zaidi. Ndiye mchezaji aliyefanikiwa…
Uzembe wa Serikali wapoteza bil. 1.3/-
Uzembe wa serikali kushindwa kutangaza kwenye gazeti lake makubaliano na kampuni ya kigeni kuhusu msamaha wa kodi uliotolewa kwa kampuni hiyo umezua mzozo wa kodi inayozidi Sh bilioni 1.3. Mzozo huo unatokana na hatua ya serikali kuipa taasisi hiyo msamaha…
Kama CCM wametangaza ushindi, uchaguzi wa nini?
Msifikiri Watanzania ni wajinga au hawana akili. Mpango wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani haukuwa utashi wa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019. Wenye akili wanajua kwamba ulikuwa mpango mahususi…
Wapinzani sasa wataka Jafo ajiuzulu
Sakata la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu limechukua sura mpya baada ya wapinzani kumtaka Waziri wa Tamisemi, Selemen Jafo, kujiuzulu kutokana na ofisi yake kuvuga uchaguzi huo. Kuondolewa kwa zaidi ya asilimia 90 ya…
Mifuko mbadala isiyokuwa na ubora yaingizwa nchini
Wazalishaji wakubwa wa mifuko mbadala mkoani Kilimanjaro wameingiwa hofu ya kushindwa kufanya biashara yenye ushindani kutokana na wimbi kubwa la shehena ya mifuko hiyo isiyokuwa na ubora kuingizwa nchini kwa kasi kupitia njia za magendo na kuingizwa sokoni bila kulipiwa…