Author: Jamhuri
UISLAMU NA WAJIBU WA KUFANYA KAZI
Mtume Muhammad (Allaah Amrehemu na Ampe Amani) amesema: “Ni bora kwa mtu kuchukua kamba akaenda mlimani na kuleta mzigo wa kuni mgongoni mwake na kuziuza ili Allaah ailinde heshima yake kuliko yeye kuomba kutoka kwa watu bila kujali kama watampatia…
Jiulize maswali kila asubuhi (2)
Je, unamfahamu mnyama duma (Cheetah)? Wengi wanajua tu kwamba ni kati ya wanyama wenye kasi sana. Duma anakimbia zaidi ya maili 60 kwa saa, lakini wengi wasichokijua kuhusu mnyama huyu ni uwezo wake mkubwa wa kubadili uelekeo kinyume na alikokuwa…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (7)
Bajeti inakusaidia usijiibie “Ukinunua usilolihitaji, unajiibia,” ni methali ya Sweden. Bajeti inakusaidia kuandika mahitaji ya kweli chini baada ya tafakuri ya kina. Ukinunua kitu kwa vile jirani yako amekinunua unajiibia. Ukinunua kitu ili kumwonyesha mwenzi aliyekuacha kuwa maisha yamekunyokea na…
Muhtasari wa kitabu cha Rais Mkapa (2)
Katika toleo lililopita, tuliona jinsi Mkapa anavyosimulia yale aliyoyafanya wakati akiwa rais. Tuliona, kati ya mambo kadhaa, jinsi ambavyo uundaji wa mamlaka za udhibiti ulivyomsaidia kuweka mambo sawa katika sekta mbalimbali. Endelea… Mheshimiwa Mkapa anaendelea: “Mashirika tuliyoyabinafsisha kama ambavyo nilivyofanya…
Ndugu Rais, tumesoma nini katika kitabu cha Mkapa?
Ndugu Rais, kitabu kilichoandikwa na Rais mstaafu Benjamin William Mkapa kimezinduliwa. Kwa mipango ya Mungu ulikizindua wewe mwenyewe. Ninasema ni mipango ya Mungu kwa sababu sisi wote tuna nafasi ya kuelewa alichokiandika Benjamin William Mkapa, lakini kwa kuwa baba ndiye…
SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ
Bila mama yake angekuwa wapi? (2) Baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari mwaka 2006, mwaka uliofuata – 2007, Diamond akajikita rasmi katika shughuli za muziki ili kujaribu kutimiza ndoto zake. Hata hivyo, hakupata mserereko kama ambavyo alitarajia, kwani alipitia…