Author: Jamhuri
KIJANA WA MAARIFA (4)
Kujifunza huanza pale woga unapokufa Woga ni adui wa vingi. Woga umefanya watu wengi wafe na wazikwe wakiwa na vitu vya thamani ambavyo dunia ilihitaji kufaidika navyo lakini kilichofaidika ni udongo. Woga umezaa umaskini, woga umefanya watu wakose haki zao….
Ndugai tafuta busara katika upuuzi wa wanaopinga
Wiki iliyopita Spika wa Bunge, Job Ndugai, alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akieleza dhamira yake ya kuliongoza Bunge kutunga kanuni mpya ambazo anaamini zitaleta ulingano kati ya wabunge wa kambi mbalimbali. Spika Ndugai amesema kanuni hizo zitaachana na…
Rais mstaafu, Mtanzania hawezi kuwa mkweli
Nina shauku kubwa ya kusoma kitabu cha Rais mstaafu Benjamin William Mkapa kuhusu maisha yake kinachoitwa ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu). Nina shauku kufahamu mtazamo wake juu ya masuala mbalimbali ya uongozi lakini nikiwa na hofu kuwa yapo mengi…
Mkuki humuua mhunzi
Istilahi za taaluma yoyote zisipotumika kwa uangalifu na maarifa zinaweza kupoteza sifa na heshima ya taaluma. Yaani, wanataaluma wenyewe kudharauliana na kugombana. Na watu wengine katika jamii yao huwabeza, huwacheka na kuwaona hawafai. Hapa nchini kwetu zipo taaluma mbalimbali. Mathalani…
Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (1)
Kuna kitu kimenisukuma kuwaza hili hasa baada ya kuona kuna ombwe kubwa sana kati yangu na maisha mapya yaliyopo. Nitaandika kwa sababu pia nimeona kuna umuhimu wa kukumbuka yote niliyoyaishi katika nyakati tofauti za utoto, ujana, makamo na sasa uzee…
TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa…