Author: Jamhuri
Busara ya Nyerere ifanye kazi Simba
Fedha si msingi wa maendeleo! Haya ni maneno yaliyowahi kutamkwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yalisemwa miaka mingi kabla dunia haijautambua utandawazi. Tunayaona ndani ya Simba inayotaka kumtimua Patrick Aussems. Mwalimu Nyerere alimaanisha kwamba fedha ni matokeo…
Kampuni za bilionea Friedkin zaminywa
Mbinu za ukwepaji kodi unavyofanywa na kampuni za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazidi kufichuka baada ya kubainika kuwa kwa miaka zaidi ya 30 serikali imekoseshwa mabilioni ya shilingi kupitia udanganyifu kwenye mishahara. Akaunti maalumu kwa mpango huo zimefunguliwa ughaibuni na kutumika…
Shetani anapokuwa malaika na malaika kuwa shetani – (1)
Hivi karibuni Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba ilimhukumu kunyongwa hadi kufa mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba. Mwalimu huyo alihukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumuua kwa makusudi mwanafunzi wake. Mwanafunzi huyo…
Kachero mstaafu bado apigwa danadana mafao yake
Kachero mstaafu wa Jeshi la Polisi, Thomas Njama, ambaye anadai mafao yake yaliyoyeyuka katika hali ya kushangaza, amerudishwa tena Jeshi la Polisi ambako ameambiwa ndiko anakoweza kupata ufumbuzi wa suala lake. Hatua hiyo imekuja baada ya Njama kukutana na maofisa…
Halmashauri ya Mkuranga kupandishwa kizimbani
Zaidi ya wakazi 1,100 kutoka wilayani Mkuranga mkoani Pwani wameruhusiwa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuishitaki Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga iliyogawa ekari 750 za ardhi yao kwa mwekezaji. Wakiwakilishwa na wenzao saba, wananchi hao 1,119 walikwenda mahakamani kudai…
Benki zisaidie wananchi kujikwamua kiuchumi – Wadau
Pamoja na kutoa mchango mkubwa katika ujenzi wa uchumi imara, benki zinazofanya biashara hapa nchini zimetakiwa pia kuchangia zaidi kwenye maendeleo binafsi ya Watanzania kupitia huduma bora na kuwekeza vyakutosha katika shughuli za kijamii. Kwa mujibu wa wadau mbalimbali, benki…