JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwisho wa kusajili laini ni Desemba 31, TCRA yasisitiza

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza kuwa mwisho wa zoezi la kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole ni Desemba 31, mwaka huu. Msisitizo huo unatokana na kuwepo kwa taarifa kwamba serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani…

Ofisa Afya alia na Tume ya Utumishi

Ofisa Afya mstaafu, Joseph Ndimugwanko, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Buhororo wilayani Ngara anailalamikia Tume ya Utumishi wa Umma kwa madai ya kutomtendea haki katika rufaa yake ya Agosti 20, 2014 ya kupinga kufukuzwa kazi. Ndimugwanko alifukuzwa kazi Julai…

Msafara wa Magufuli una mambo mengi

Usidhani kuwa Rais John Magufuli anapopanga kutembelea eneo fulani katika ziara zake wanaohusika katika misafara yake ni viongozi wa serikali pekee.  Wakati maofisa wakiandaa safari hizo, wapo watu wengine kwa mamia ambao nao hujiandaa kwenda katika ziara hizo kwa malengo…

KIJANA WA MAARIFA (5)

Ukijificha fursa nazo zinajificha Kuna watu wanajua mambo mengi lakini hawataki kutoka nje na kuonyesha yale waliyojaliwa. Kuna watu wana ujuzi mkubwa lakini hawataki kuonyesha ujuzi wao. Kuna watu wana mawazo mazuri ya biashara lakini hawataki kuanza kuyafanyia kazi. Kila…

Viongozi acheni kumtegea Rais Magufuli

Kuna kundi kubwa la wananchi ambao wamekuwa wakizunguka katika ziara anazofanya Rais Dk. John Magufuli kwa lengo la kufikisha kero zao kwake.  Watu hao wamefikia hatua hiyo baada ya viongozi na watumishi katika ngazi nyingine kushindwa kuwasaidia kutatua matatizo yao….

Uamuzi wa Busara

Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi hii ingekuwaje leo….