JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tujipendekeze kwa kiasi

Awali ya yote niwaombe radhi wapendwa wasomaji kwa kuwatupa mkono kwa kipindi kirefu sasa. Kwa siku za karibuni nimekuwa na dhima nyingi, kiasi cha kujikuta nikishindwa kutimiza yote niliyokusudia kwa wakati mmoja. Itoshe tu kuwashukuru mno kwa kuendelea kwenu kuwa…

Demokrasia isitumike kuleta ghasia nchini

Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao mamlaka yake yanatokana na matakwa ya umma. Ni mfumo wa asasi au chama kinachoshirikisha watu kutoa uamuzi kwenye masuala yanayohusu maendeleo. Katika fasili nyepesi, demokrasia ni uhuru na uwezo wa watu katika kutawala mwenendo…

Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (3)

Kijiji kikawa na imani nami na kuamua kwa kauli moja katika mkutano wa hadhara kuwa niwe meneja wa duka na basi la kijiji.  Hapo changamoto zilianza kujitokeza, kwa kuwa nilipaswa kuwa kiongozi wa basi letu, pia liwapo safarini na wakati…

Uhuru miaka 58 bado kuna kususa tu? (1)

Jana, Desemba 9, 2019 taifa letu limetimiza mwaka wa 58 tangu Tanganyika ijipatie Uhuru wake. Huwa tunajivunia tukio hili, lakini kiulimwengu sisi bado wachanga mno kimaendeleo tukilinganishwa na nchi za magharibi. Wale wenzetu wanaitwa kimaendeleo nchi za ulimwengu wa kwanza…

Mafanikio katika akili yangu (8)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Aisee, kumbe mchungaji alikuwa akiniambia ukweli kuwa wewe ni mwandishi mzuri,’’ alizungumza profesa huku akitaka mara baada ya Mariana kumaliza kuangalia gazeti ampatie pia. Mariana alipofungua ukurasa wa tisa wa gazeti akakutana na picha…

Kutoka kuuza kahawa Kariakoo hadi chapuo la kuwa mbunge (1)

Wapo ambao walimsifia na wengine wakamponda wakati alipoamua kuhama kutoka kwenye lebo ya Wasafi na kuamua kusimama kivyake kama msanii anayejitegemea.  Lakini hiki alichokifanya msanii Harmonize ni moja ya mambo ambayo yanaonyesha kukua kwa msanii ingawa asipocheza vema gemu inaweza…