Author: Jamhuri
Unafahamu nini kuhusu uwakala?
Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni moja ya biashara kubwa nchini. Wapo mawakala katika mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Voda n.k. Mawakala wa kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na makampuni…
ISHI NDOTO YAKO (2)
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii tuliona kuwa mtu unapaswa kuishi kwa kufuata ndoto yako. Ndoto yako isiongozwe na maneno ya watu. Acha wakuseme wawezavyo lakini wewe pambana kutimiza ndoto yako. Acha leo wakuone kichaa ili kesho wakushangae. Endelea……
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (9)
Anzia wengine wanapoishia Mwisho unaweza kuwa mwanzo wa kitu kipya. “Kila mwanzo mpya unatoka kwenye mwisho wa mwanzo mwingine,” alisema mwanafalsafa wa Kigiriki, Seneca. Mababu zetu na nyanya zetu walitunza hadithi na methali kwenye vichwa vyao, sisi tumeanzia walipoishia, tunatunza…
Tujipendekeze kwa kiasi
Awali ya yote niwaombe radhi wapendwa wasomaji kwa kuwatupa mkono kwa kipindi kirefu sasa. Kwa siku za karibuni nimekuwa na dhima nyingi, kiasi cha kujikuta nikishindwa kutimiza yote niliyokusudia kwa wakati mmoja. Itoshe tu kuwashukuru mno kwa kuendelea kwenu kuwa…
Demokrasia isitumike kuleta ghasia nchini
Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao mamlaka yake yanatokana na matakwa ya umma. Ni mfumo wa asasi au chama kinachoshirikisha watu kutoa uamuzi kwenye masuala yanayohusu maendeleo. Katika fasili nyepesi, demokrasia ni uhuru na uwezo wa watu katika kutawala mwenendo…
Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (3)
Kijiji kikawa na imani nami na kuamua kwa kauli moja katika mkutano wa hadhara kuwa niwe meneja wa duka na basi la kijiji. Hapo changamoto zilianza kujitokeza, kwa kuwa nilipaswa kuwa kiongozi wa basi letu, pia liwapo safarini na wakati…