Author: Jamhuri
Ndugu Rais, jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni Kenya
NA PASCHALLY MAYEGA Ndugu Rais, kabla wewe hujawa baba nilimwandikia aliyekuwa baba yetu wote, maneno ambayo hata binti yetu Martha aliyaimba kuwa, mimi ni mpitaji tu katika hii dunia. Makao yangu yako kwa baba tu. Baba yangu kaniaandalia makao…
Ili kukuza uchumi Tanzania isibadili tu itikadi, ibadili mbinu pia
DAR ES SALAAM NA JOHN KIMBUTE Mwelekeo wa sasa wa sera za nje za Tanzania una tofauti kiasi fulani na tulichozoea awali, na kwa njia hiyo imebidi viongozi serikalini wafanye kazi ya ziada ya kuainisha maeneo ya fikra au itikadi…
Gawio kwa Serikali ni msingi wa ujenzi wa nchi
DAR ES SALAAM NA JOVINA BUJULU, MAELEZO Hivi karibuni Rais John Magufuli aliwakaribisha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za umma katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kutoa mchango wao kifedha kwa serikali. Michango…
Dawati la Jinsia na Watoto Butiama lazua vigelegele, miguno
Na G. Madaraka Nyerere Mwishoni mwa mwezi uliopita nilihudhuria ufunguzi wa jengo jipya la kituo cha Dawati la Jinsia na Watoto kwa Wilaya ya Butiama. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Wengi walizungumza ingawa…
Daktari bingwa aonya homa ya ini
DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Daktari bingwa wa magonjwa ya ini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ewaldo Komba (pichani), amewataka Watanzania kujenga tabia ya kupima kama njia ya kuhakikisha kuwa haiwaathiri katika hatua za mwisho. Dk. Komba amesema ugonjwa…
Mungu anaongea kupitia mazingira (1)
Kila mtu anapaswa kufurahi na kujivunia mazingira anayoishi. Tunapaswa kukuza ndani yetu uwezo wa kushangaa, kufurahia na kumshukuru Mungu kwa kazi nzuri ya uumbaji. Tukazane kumwona Mungu kupitia viumbe vyake kwa kuviona kuwa vinawakilisha sura ya Mungu. Tukiona kujifunua kwa Mungu…