Author: Jamhuri
KIJANA WA MAARIFA (7)
Ukijifunza, fundisha Kufahamu mambo bila kuifundisha familia yako ni kuiacha familia hiyo iangamie. Kufahamu mambo bila kuifundisha jamii yako ni kuiacha jamii hiyo ipotee. Kufahamu mambo bila kulifundisha taifa lako, ni kuliacha taifa hilo lipotee. Ukijifunza, fundisha. Ukifahamu mambo,…
Uamuzi wa Busara (3)
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Uamuzi wa Busara, tulisoma kuhusu uamuzi wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa (UNO). Wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU waliandika ujumbe kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa waliotumwa nchini kuja kuchunguza hali…
Safari ya Uingereza kuondoka EU yaiva
London, Uingereza Safari ya Uingereza kujiondoa katika Jumuiya ya Ulaya (EU), maarufu kama Brexit imeiva. Hii ni baada ya Chama cha Conservative chini ya Waziri Mkuu Boris Johnson kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 12. Boris sasa ataweza…
Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda
Na Deodatus Balile Nimesoma kitabu alichokiandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Kitabu hiki kimekuwa gumzo. Sitanii, nilisikia Rais John Magufuli akiagiza kitabu hiki kitafsiriwe katika Kiswahili. Kitabu hiki kimenikumbusha vitabu vinne vya kizalendo;…
Ofisa wa Jeshi ajitosa kutetea wapagazi
MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Kilio cha masilahi duni kwa wapagazi katika Mlima Kilimanjaro kimeendelea kusikika kwa makundi mbalimbali yanayopanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika. Safari hii Kanali Machera Machera wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ameungana na…
Matumizi ya intaneti kupitia simu yaongezeka
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mapinduzi makubwa ya kimfumo na uwekezaji wa kutosha kwenye teknolojia mpya kumesaidia kupanua upatikanaji wa huduma za intaneti nchini katika kipindi cha muongo mmoja. Takwimu za kisekta zinaonyesha kuwa miaka kumi iliyopita watumiaji wa…