JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uamuzi wa Busara (4)

Katika toleo lililopita, sehemu ya tatu tuliishia katika aya isemayo: “Hatupendi wafukuzwe au wafanyiwe ubaguzi wa namna yoyote, lakini Wahindi na Wazungu tuliowakubali ni wale ambao wamekwisha kukubali kukaa Tanganyika daima. Mhindi ambaye bado yuko India au Pakistan si Mtanganyika….

Serikali yanadi maeneo yenye madini

DODOMA NA GREYSON MWASE Tume ya Madini imetangaza zabuni kwa watu wanaotaka kununua maeneo 10 yenye leseni hodhi za madini yenye ukubwa wa kilometa za mraba 381.89 katika maeneo ya Ngara — Kagera, Kahama – Shinyanga, Chunya – Mbeya, Bariadi…

Wakala wa Vipimo wafanya kazi na sekta binafsi

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Wakala wa Vipimo nchini (WMA) umefanikiwa kusambaza huduma zake kwa watu wengi nchini na kuwa karibu zaidi ya sekta binafsi. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa WMA,…

Halotel kutumia bilioni 3.8/- usajili wa laini

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imesema changamoto kubwa kwake kibiashara mwaka huu imekuwa zoezi la kusajili laini kwa njia ya alama za vidole ambalo mpaka sasa hivi limeigharimu kampuni hiyo zaidi ya…

Biashara nje ya nchi yaanza kuirmarika

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Biashara kati ya Tanzania na nchi nyingine duniani imeanza kuimarika baada ya miaka mitatu ya mdororo kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa uagizaji wa bidhaa na huduma mbalimbali kutoka nje, JAMHURI limebaini. Kuimarika…

Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele (2)

DAR ES SALAAM NA ANNA JULIA MWANSASU   Ninawashukuru wote walionipigia simu, walionitumia ujumbe mfupi na wengine kuongea nami ana kwa ana kuhusu makala yangu katika toleo lililopita la gazeti hili. Awali ya yote, ninapenda kusema kwamba mimi si mwanasiasa,…