JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uchumi wa gesi bado gizani

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Safari itakayowafikisha Watanzania kuanza kupata faida kubwa zitokanazo na uchumi wa gesi bado inazidi kuwa ndefu kutokana na vikwazo kadhaa vinavyoibuka kila wakati. Wakati wa kilele cha vuguvugu la mgogoro wa ujenzi wa bomba…

Ripoti yafichua ufisadi wa kutisha jumuiya ya watumia maji

MOSHI NA CHARLES NDAGULLA   Ripoti ya ukaguzi maalumu uliofanywa na wakaguzi wanane kutoka Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro kwenye Jumuiya ya Watumiaji Maji ya Kirua Kahe (KKGWST), imefichua mambo ya ajabu, ukiwamo ufisadi na mkandarasi kulipwa…

Mwendokasi wakiri kuzidiwa

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Kampuni inayoendesha mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam, UDART, imekiri kuzidiwa wingi wa abiria kutokana na uchache wa mabasi inayoyamiliki. Kampuni hiyo imekiri kuwa msongamano wa abiria katika mabasi na abiria…

Serikali yataka sekta ya umma kushindanishwa tuzo za mwajiri bora

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Serikali imetoa mapendekezo ya kushirikishwa kwa taasisi za umma katika mashindano ya kumtafuta mwajiri bora wa mwaka kuanzia mwakani. Tangu mwaka 2015 Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), kimekuwa kikitoa tuzo kwa mwajiri bora kila…

Hili la ukomo wa urais lisitumike kututoa kwenye reli

  Kwa muda sasa mijadala ya siasa nchini imetawaliwa na suala la ukomo wa mihula ya urais. Katiba inatamka wazi kuwa mtu atashika urais kwa kipindi cha muhula wa miaka mitano na anaweza kuchaguliwa tena kwa kipindi cha pili cha…

KIJANA WA MAARIFA (8)

Shukrani ni jukumu la kufanyika haraka   “Hakuna jukumu linalohitajika kufanyika haraka kama kurudisha shukrani,” alisema James Allen. Kushukuru ni kuomba tena. Shukrani ni kurudisha fadhila ya kuona umefanyiwa kitu cha thamani na mtu ambaye anaweza kuwa rafiki yako, ndugu,…