Author: Jamhuri
Wahandisi toeni ushauri wa kitaalamu kwa wananchi wanapofungua barabara kwa nguvu zao – Mhandisi Seff
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewataka Wahandisi wa TARURA nchini kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wananchi na wadau wa maendeleo pindi wanapofungua au kutengeneza barabara kwa…
Rais Samia apeleka neema ya umeme wa REA Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha sh bil 19 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa usambazaji nishati ya umeme vijijini (REA) katika vitongoji 180 vya Mkoa…
Kuelekea mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania 2024
DONDOO ALIYOYASEMA NAIBU WAZIRI WA MADINI, DKT. STEVEN KIRUSWA Royal Tour imeleta wawekezajiRoyal tour imeongeza mwamko wa wawekezaji kuja kuwekeza kwenye Sekta ya Madini Tanzania. Madini tunayo na wawekezaji wameendelea kuja. Kuna ongezeko la wazalishaji, Wadogo, wa Kati na Wakubwa….
Mamia wajitokeza kupima macho Dar, waishukuru CCBRT
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam ZAIDI ya wagonjwa 1,000 wa macho wengine 200 wa rufaa wamepimwa macho na kupatiwa matibabu katika zoezi linaloratibiwa na Hospital ya CCBRT katika kambi tatu tofauti Jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo ambalo…
Polisi wathibitisha kifo cha katibu wa CCM aliyeuawa Iringa
Na Isri Mohamed Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limethibitisha kifo cha cha katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, Christian Nimrod Nindi (56), kilichotokea usiku wa kuamkia leo baada ya kupigwa na risasi akiwa nyumbani kwake kitongoji…
Trump amteua Susie Wiles kuwa Mtendaji Mkuu wa Ikulu
RAIS mteule wa Marekani Donald Trump amemteua Susie Wiles kuwa afisa mkuu wa utumishi wa ikulu ya White House. Huo ni uteuzi wa kwanza wa Trump baada ya ushindi wake kwenye uchaguzi wa Novemba 05 dhidi ya Kamala Harris. Kupitia…