Author: Jamhuri
Uamuzi wa Busara (5)
Katika sehemu ya nne tuliishia katika aya isemayo: Kama serikali ingelikubali azimio hilo lililobadilishwa, Dar es Salaam pasingekuwa na uchaguzi mwaka 1958. Ndiyo kusema Mwalimu Nyerere angeendelea kukaa katika Baraza la Kutunga Sheria kwa kuteuliwa na gavana ingawa baraza hilo…
Historia kabla ya Uhuru na mafanikio ya miaka 58 ya Tanzania kujitawala
Ni vema na haki kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi anayotutendea na kipekee kumshukuru kwa zawadi ya uhai, maana ni kwa neema yake sisi tunapumua. Vilevile ninamshukuru Mungu sana kwa taifa letu kusherehekea vizuri na kwa amani Uhuru wa Tanganyika…
Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda (2)
Wiki mbili zilizopita niliandika juu ya Kitabu alichoandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho “Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Nilijadili mada ya ununuzi wa nyumba/jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia. Niligusia maelezo ya Rais Mkapa aliyekwenda mahakamani kutoa…
Deni la taifa lakua Oktoba
Deni la nje la taifa ambalo linahusisha deni la serikali na deni la sekta binafsi, lilikua na kufikia dola milioni 22,569.4 za Marekani ilipofika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu, Benki Kuu (BoT) imeeleza. Taarifa ya Uchumi kwa Mwezi iliyotolewa…
Bei za vyakula zapandisha mfumko wa bei
Kupanda kwa bei za vyakula kumesababisha kupanda kwa kiasi kwa mfumko wa bei, Benki Kuu (BoT) imeeleza katika ripoti yake ya hali ya uchumi kwa mwezi Oktoba. Ripoti hiyo ambayo imetolewa mwezi uliopita inaonyesha kuwa mfumko wa bei kwa mwaka…
Atatokea mhubiri mwingine kama Bonnke?
Mwanzoni mwa mwezi Desemba Shirika lijulikanalo kama Christ for All Nations (Kristo kwa Mataifa Yote) lenye makao yake makuu jijini Orlando, Florida nchini Marekani lilitangaza kuwa Mchungaji Reinhard Bonnke amefariki dunia. Mchungaji Bonnke atakumbukwa kwa kazi yake kubwa ya kueneza…