Author: Jamhuri
Polepole: CCM kutawala hadi 2100
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaingia katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu kikiwa tayari kimekwisha kujihakikishia ushindi kwa asilimia 70 katika ngazi zote zitakazogombewa. “Kutokana na jinsi tulivyojipanga, hadi hivi sasa tuna uhakika wa asilimia 70 ya kura za urais…
Wakenya wamganda Nandy
Tetesi zimesambaa huko Kenya kuwa nyota wa muziki nchini hapa, Nandy, ni Mkenya. Tetesi hizo zinaeleza kuwa Nandy alizaliwa na kukulia Mombasa nchini Kenya, ingawa hazielezi wazazi wake ni kina nani. Tetesi hizo zinadai pia kuwa hadi hivi sasa mrembo…
Rooney afunguka alivyoumizwa na kamari
Mwanasoka mahiri aliyewahi kukipiga kwa mafanikio Manchester United chini ya Kocha Alex Ferguson, Wayne Rooney, amekiri hadharani kuwa kamari ni moja ya mambo yaliyoathiri kiwango chake uwanjani kwa kiasi kikubwa. Rooney, ambaye wakati fulani alikuwa nahodha wa timu ya taifa…
Simba, Yanga funzo tosha
Nani anataka matokeo mabovu? Kuna uwekezaji mkubwa, huku wachezaji wakipewa kila kitu, halafu unakuja kutoa sare na timu ambayo unaamini ni mbovu? Swali kubwa. Nyumba inajengwa kwa siku moja? Matokeo ya mechi ya Ligi Kuu ya mwishoni mwa wiki kati…
Mwaka wa miradi
Mwaka 2019 ni mwaka ambao Tanzania imeshuhudia uzinduzi wa miradi mingi mikubwa pengine kuliko mwaka wowote tangu nchi ipate Uhuru Desemba 9, 1961. Hata hivyo, wakati baadhi ya watu wakiisifu Serikali ya Awamu ya Tano kwa kazi hiyo chini ya…
Uchumi wa gesi bado gizani (2)
Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) limesema litajitosa kufanya utafiti wa gesi baharini kuanzia mwakani kama njia ya kuifufua sekta hiyo ambayo shughuli zake zimesimama kwa sasa. Akizungumza na JAMHURI ofisini kwake hivi karibuni, Mkurugenzi wa Utafiti wa TPDC,…