Author: Jamhuri
Jibu la msamaha ni msamaha (2)
Leo kupitia makala hii naomba tuwekane sawa katika mahusiano yetu. Dunia haiwezi kuwa salama bila msamaha. Familia yako haiwezi kuwa salama bila moyo wa msamaha. Lewis Smedes anasema: “Mtu wa kwanza, na mara nyingi ndiye ambaye huponywa na msamaha, ni…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (12)
Ukiua muda unaua fursa Muda una mbawa za kupaa, utumie vizuri. William Shakespeare, mshairi na mwigizaji alilalamika: “Nilipoteza muda; sasa unanipoteza.” Ukiwa mtoto, muda unatambaa. Ukiwa kijana muda unatembea. Ukiwa umri wa kati, muda unakimbia. Ukiwa mzee muda unapaa. Unakimbia…
Staili ya zimamoto inaua elimu
Jamii au familia makini ni ile inayoweza kwa akili za kibinadamu kutabiri na kuweka mipango kutokana na kinachotarajiwa. Kwenye ngazi ya familia yapo yanayopaswa kufanywa na wazazi ili kukabiliana na makusudio au mipango yao ya kupanua familia. Vivyo hivyo, serikali…
Umuhimu wa wimbo katika jamii
Tangu zamani watu wamekuwa wakitumia shairi au wimbo kufikishiana taarifa inayohusu kitu fulani. Pia shairi au wimbo umetumika kama hifadhi ya maarifa, hekima na sifa ya mtu maarufu. Wasanii wa muziki, watunzi na waghani wa mashairi na ngonjera, waandishi wa…
Yah: Tunamhitaji zaidi Mungu
Tunauanza mwaka mwingine kwa bahati tu, tulianza nao wengi na wengine nusura tumalize nao lakini haikuwa hivyo. Si kwamba hawakuwa na nguvu, la hasha! Si kwamba hawakuwa na madaraka, la hasha! Vilevile si kwamba hawakuwa wajanja, bali neno lilitimia juu…
Mafanikio katika akili yangu (12)
Katika toleo lililopita sehemu ya kumi na moja tuliishia katika aya isemayo: “Noel, mimi ninaona utafanya mambo makubwa, wala usikate tamaa,” alisema profesa. Noel alikuwa amekaa kwa huzuni akiwa na mawazo tele, maana alikuwa akifikiria kuhusu umaskini aliouacha Tanzania. Umaskini…