JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wagombea CCM mtegoni

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanataka mabadiliko kwenye kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho ili kuruhusu kiongozi kuwa na kofia ya uongozi zaidi ya moja. Hata hivyo, wajumbe wameambiwa wanaotaka nafasi nje…

Mauzo ya korosho bado pasua kichwa Pwani

Jitihada za serikali kuwatafutia wateja wakulima wa korosho za daraja la tatu mkoani Pwani zimegonga mwamba baada ya wanunuzi hao kupendekeza bei ambayo wakulima wameikataa. Kutokana na hilo, mnada wa korosho hizo za daraja la tatu uliofanyika wiki iliyopita umeshindwa…

TRA yaainisha mikakati ya kuongeza mapato

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika nusu ya pili ya mwaka wa fedha 2019/2020 itahakikisha inaongeza makusanyo ya kodi ili kuiwezesha serikali kutekeleza Dira yake ya Maendeleo ya Taifa kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akiainisha mikakati watakayoitumia kufanikisha…

Kisarawe wajipanga kukabiliana na mabusha

Watu 450 wilayani Kisarawe, mkoani Pwani wamefanyiwa upasuaji wa mabusha katika kambi maalumu iliyoendeshwa na madaktari bingwa wa upasuaji.  Akizungumza na JAMHURI, Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Dk. Starford Mwakatage, anasema kuwa tatizo la mabusha wilyani humo ni kubwa na…

KIJANA WA MAARIFA (10)

Akiba haiozi, wekeza ukiwa kijana Wanasema akiba haiozi na ikioza hainuki. Nitafanya makosa makubwa kama nikiandika mambo mengi kuhusu vijana na nikakosa kuongelea kuhusu kijana na uchumi. Ni wazi kwamba pesa katika maisha yetu haikwepeki. Tangu unapoamka mpaka pale unaporudi…

Msimamo wa Jaji Mkuu kuhusu dhamana upewe kipaumbele

Katika miaka ya hivi karibuni kosa la utakatishaji fedha limesababisha watu wengi kuwekwa mahabusu kwa kipindi kirefu, kwa sababu kwa mujibu wa sheria, kosa hilo halina dhamana.  Ingawa serikali ilikuwa na dhamira njema ilipotunga sheria hiyo, lakini baadhi ya wataalamu…