Author: Jamhuri
NMB inavyoijali jamii inamofanya kazi
Hakuna sheria maalumu ya jumla nchini Tanzania inayozilazimisha kampuni kuchangia miradi mbalimbali ya kijamii. Licha ya sheria kuwa kimya juu ya kile kinachopaswa kufanywa na kampuni na wadau wa sekta za ziada katika kuwajibika kwa jamii kupitia CSR, zipo kampuni…
‘DAWASA tumejipanga kuwatumikia Dar, Pwani’
Hivi karibuni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya mahojiano na kipindi cha MIZANI cha Televisheni ya Taifa (TBC1). Katika kipindi hicho anazungumza masuala mengi kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi na majitaka jijini Dar es Salaam pamoja…
Hatua za kufuata unapoagiza mzigo wako ng’ambo
Bandari imejipanga kuhakikisha mteja aliyeagiza mzigo nje ya nchi anapata mzigo wake kwa wakati bila usumbufu. Katika toleo hili tunakuletea hatua ambazo mwagizaji wa mzigo kupitia bandari zetu anapaswa kuzifuata ili aweze kuagiza na kuupata mzigo wake kwa njia rahisi. …
Ndugu Rais, unayo nafasi ya kipekee
Ndugu Rais, Malcolm X, mwanaharakati wa haki za weusi huko Marekani alipata kusema: “Nitaufuata ukweli bila kujali nani anausema. Nitafuata haki bila kujali inampendelea nani au ipo dhidi ya nani.” Na kwa sababu hii, baba ninasema kwa sauti kubwa kuwa…
Mstaafu akopa mil. 1/- alipishwa mil. 39/-
Umekisia kisa cha Bi Juliana Kant Nyitambe, mkazi wa mkoani Mara na mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Kotwo iliyopo wilayani Rorya ambaye alikopeshwa Sh 1,000,000 na kulipishwa kwa lazima Sh 39,000,000? Wakati anakopa aliambiwa riba ya mkopo huo ni…
Unayajua haya kuhusu Ukristo na Uislamu?
Makala yetu leo yahitaji kwanza kabisa kujibu swali; Nini Ukristo? Nini Uislamu? Bila ya kuzama kwenye fasili za mabingwa wa teolojia na historia za dini, kwa mujibu wa Kamusi Elezo Huru, Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Khristos, ambalo linatafsiri lile…