JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

KESHO YAKO

Anza kujiandaa.  Kesho inaanza leo. Panda mbegu za kesho leo. Ukweli ni kwamba kesho njema hujengwa na leo njema. Ikiwa leo njema imekosewa, hakuna kesho njema yenye mafanikio. Rais wa 36 wa Marekani, Lyndon B. Johnson anasema: “Jana si ya…

Nini maana na umuhimu wa jina la biashara

Jina unalotumia kwenye biashara yako, yaani lile uliloandika dukani kwako, kwenye gari lako na kwingineko kwa mfano MASAI SHOP, KARAMA BEAUTY, BARAKA TRADERS, K TRANSPORTERS, KITWE BUS SERVICES na kadhalika, ndilo jina la biashara.  Lakini si jina halali la biashara…

Ni kweli hawayaoni au hawataki kuyaona? (1)

Upo usemi kuwa: “Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.” Usemi huu haukuanza hapa Tanzania. Ni usemi wa zamani hata kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo.  Katika Biblia, kwa mfano, neno ‘macho’ na neno ‘viziwi’ yametajwa kwenye vitabu vya Agano…

Uhuru, Mapinduzi na Muungano ni muhimu kwetu

Watanzania tuliadhimisha miaka 58 ya Uhuru jijini Mwanza, Disemba 9, 2019, na Januari 12, 2020, wiki iliyopita tuliadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar mjini Unguja.  Hivi sasa tunajiandaa tena kuadhimisha miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ifikapo…

Yah: Ufaulu ni maendeleo kwa taifa letu

Salamu zangu za mwezi Januari lazima ziwe za upole, kwa sababu ni hizi Januari za miaka ya hivi karibuni ambazo zimekuwa zina matatizo mengi kwa kizazi hiki.  Sina hakika na sababu zake, lakini labda ni kwa sababu watu hawalimi au…

Mafanikio katika akili yangu (14)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Fatuma muda huo alikuwa yumo njiani na Zawadi dada yake Noel wakitembea kuelekea ofisi za ofisa utamaduni wa mkoa ili kuangalia namna ya kusajili kampuni yao ya mitindo waliyokuwa wanataka kuianzisha. Sasa endelea……