Author: Jamhuri
Biashara na Qatar yaongezeka maradufu
Mwaka 2012, biashara kati ya Tanzania na Qatar ilikuwa dola milioni 1.24 za Marekani, lakini miaka sita baadaye ilikuwa imeshamiri na kuongezeka takriban mara 31 hadi kufikia dola milioni 38.23 huku taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati likiwa ndilo…
Olduvai inajipanga vipi kutetea hadhi yake?
Uvumbuzi wa mabaki ya watu wa kale uliofanyika sehemu mbalimbali duniani unaweka rehani hadhi ya Bonde la Olduvai ambalo hadi hivi sasa ndilo eneo linalotambulika rasmi kama sehemu ambayo binadamu wa kwanza kabisa duniani aliishi. Licha ya kuweka rehani hadhi…
Ndugu Rais, machungu ya watu wa Mungu yauguse moyo wako
Ndugu Rais, wewe ndiye tuliyepewa uwe baba yetu sisi wote hapa nchini kwa wakati huu. Lakini baadhi yetu labda kwa kusikilizwa sana wanajiona wewe ni baba yao zaidi. Wajue wewe ni baba wa wote. Tulikuwa pamoja sana kabla hujawa baba….
Uislamu unakataza kuwa ombaomba
Ombaomba, kwa mujibu wa fasili ya Kiswahili, ni mtu anayepata mahitaji yake kwa kuzurura mitaani na kuomba kutoka kwa wapita njia. Ombaomba ni mtu mwenye tabia ya kuitisha usaidizi kutoka kwa wengine kila mara. Kwa ujumla, ombaomba ni mtu aliyeamua…
Mbowe ni sawa na Mandela, asinyanyaswe
Ninaweza kusema kuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bado wana imani na Freeman Mbowe, baada ya mkutano mkuu wake kuonyesha imani naye na kumwacha aendelee kushikilia usukani wa kukiongoza kwa kumpa tena nafasi ya kuwa mwenyekiti wake…
KESHO YAKO
Anza kujiandaa. Kesho inaanza leo. Panda mbegu za kesho leo. Ukweli ni kwamba kesho njema hujengwa na leo njema. Ikiwa leo njema imekosewa, hakuna kesho njema yenye mafanikio. Rais wa 36 wa Marekani, Lyndon B. Johnson anasema: “Jana si ya…