JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NIDA ijirekebishe, iende na wakati

Zoezi la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole na Kitambulisho cha Taifa limeibua uzembe uliofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).  Kwa kiasi kikubwa watu wengi wameshindwa kusajili laini zao za simu kwa wakati kutokana…

KIJANA WA MAARIFA (11)

Mitandao ya kijamii ni fursa wanayoitumia wachache. Jumamosi ya Januari 11, mwaka huu ilikuwa siku ya furaha kubwa maishani mwangu. Ni siku ambayo nilikuwa nikizindua kitabu changu cha tatu kiitwacho ‘yusufu nina ndoto’, ambacho sasa kipo sokoni. Kabla ya kufanya…

Uamuzi wa Busara (8)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara, tulisoma jinsi wanachama wa Chama cha TANU wanavyojivunia kuimarika kwa chama chao kiasi cha kuvifanya vyama vingine vinavyokipinga kuanza kupukutika. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Kutokana na uamuzi huo…

Ushauri wangu kwa Rais Magufuli

Nikiwa mwananchi ninayeipenda nchi yangu, nimeamua kuchukua muda mfupi kumshauri Rais wangu, Dk. John Magufuli, kuhusu uendeshaji wa nchi yetu.  Maana kama anavyoeleza yeye mwenyewe, urais ni kazi ngumu kupita kiasi. Kwa hiyo, kwa wananchi wazalendo wenye kuipenda nchi yao,…

Watumia laini za simu kuukwaa uraia

Wahamiaji haramu na walowezi wanaoishi hapa nchini wanatumia mwanya wa usajili wa laini za simu wa ‘mwendokasi’ kujipatia vitambulisho vya taifa, JAMHURI limebaini.  Hali hiyo imeelezwa kuwapo katika mikoa ya pembezoni mwa nchi, na tayari malalamiko kadhaa yamekwisha kupelekwa kwenye…

Barrick kupunguza wafanyakazi 110 North Mara

Baada ya kukamilisha zoezi la kuimiliki Kampuni ya Acacia Mining, Barrick Gold Corporation ya Canada imeanza kutekeleza mikakati mipya ya kuiendesha migodi iliyokuwa ikisimamiwa na kampuni hiyo, ukiwemo ule wa North Mara uliopo wilayani Tarime. Mikakati hiyo inayolenga kuongeza ufanisi…