Author: Jamhuri
Uamuzi wa Busara (9)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Rais wa Tanganyika alivyokuwa ameunda tume ya kuunda Katiba ya Chama cha TANU, lakini tume hiyo ilikuja pia na mapendekezo ya kuundwa Katiba ya muda ya Jamhuri ya Muungano….
Ni kweli hawayaoni au hawataki tu kuyaona? (2)
DAR ES SALAAM Katika makala iliyopita tuliona baadhi ya maeneo ambayo nchi imepiga hatua kwa maendeleo lakini baadhi ya watu, hasa wanasiasa, wanadai kuwa hakijafanyika chochote nchini tangu Uhuru. Lakini Waingereza wana msemo kuwa: “Seeing is believing”; yaani unaamini zaidi…
Dk. Hamisi Kigwangalla akimbilia mahakamani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akiomba amri ya mahakama kulizuia Gazeti la JAMHURI kuchapisha na kusambaza habari zinazomkashifu. Nyaraka za mahakama ambazo zimewasilishwa kwa JAMHURI zililitaka gazeti hili kufika…
Kuzimwa simu kuathiri biashara ya pesa mtandaoni
Ukiondoa mawasiliano ya kawaida, eneo jingine kubwa litakaloathirika sana kutokana na zoezi la kuzima laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole litakapokamilika ni biashara ya pesa mtandaoni, ambayo thamani yake ilikuwa imefika zaidi ya Sh trilioni nane kwa…
Songas kuwekeza Sh bilioni 138 zaidi nchini
Kampuni ya kuchakata gesi asilia na kuzalisha umeme ya Songas inapanga kuongeza kiasi cha umeme inachozalisha nchini kwa asilimia 33 ili kuliwezesha taifa kuwa na nishati ya kutosha kwa ajili ya shughuli za kiuchumi, mkurugenzi mtendaji wake amesema. Kwa mujibu…
Kitunda wazindua Parokia
Jumapili Januari 26, 2020 waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania, Kata ya Kitunda, Dar es Salaam wametabaruku Kanisa na Altare. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, ndiye aliyelitabaruku Kanisa hili lenye historia iliyotukuka. Mwandishi…