JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

UMATI yaondolewa kwenye ‘nyumba yake’

MWANZA NA MWANDISHI WETU Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) kimeingia katika mgororo wa umiliki wa nyumba ambayo kilikuwa kinaitumia kama kliniki ya matibabu wilayani Ilemela, mkoani Mwanza. Ingawa UMATI inadai kuimiliki nyumba hiyo baada ya kuinunua kwa…

Mambo ya Ndani kiti cha moto

· Mawaziri wengi hawadumu zaidi ya miaka miwili DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kutimuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, wiki iliyopita kumeifanya wizara hiyo iendelee kuwa miongoni mwa wizara ambazo zimeongozwa na idadi kubwa…

Polisi Moshi yakanusha hujuma miundombinu

Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro umeshindwa kubaini kuwepo kwa hujuma zozote dhidi ya njia ya reli kati ya Moshi na Arusha. Polisi walilazimika kufanya uchunguzi huo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kusema…

Wanaouguza wagonjwa Muhimbili kuandamana

Kundi la watu wanaouguza zaidi ya wagonjwa 1,000 wanaoishi katika banda nje ya geti la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamepanga kuandamana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kufuatia kitendo cha uongozi wa hospitali hiyo…

Wako wapi waliotupotosha kwenye madini?

Baada ya porojo nyingi na propaganda duni siku za hivi karibuni kuwa makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Barrick Gold Corporation ya Canada yamekwama, hatimaye pande hizo mbili zimekata mzizi wa fitina kuhusu suala hilo. Hii ni baada ya…

Nyota yako itaonekana kabla ya jua kuzama

Inawezekana umefanya mambo mengi huku ukiweka juhudi katika kutafuta mafanikio lakini bado unapata matokeo hafifu. Habari njema ni kwamba wakati wako waja neema itakapokushukia. Inawezekana nyota yako huioni asubuhi lakini kumbuka siku bado haijakwisha, nyota yako itaonekana kabla ya jua…