JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Nilibatizwa kwa maji machache, siku hizi ni wa moto

Wakati nilipokuwa mtoto wazazi wangu walinipeleka katika kanisa ambalo mimi nilibatizwa na kupewa jina ninalotumia mpaka leo.  Kwa jinsi ninavyosimuliwa ni kwamba sikulia wakati wa kubatizwa kwa sababu maji hayakuwa mengi kama ambavyo siku hizi watu wanalia kwa kubatizwa ndani…

Mafanikio katika akili yangu (16)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Nina kijana nyumbani ana uwezo mzuri wa uandishi wa vitabu, kwanini msimpe nafasi?’’ alisema Meninda. Sasa endelea…  Mkurugenzi alifikiria kwa dakika chache kisha akamjibu: “Kama yuko nyumbani uje naye siku yoyote ili nimpe kazi…

Singeli kuifunika Bongo Fleva? (2)

Katika makala iliyopita tulianza kuangalia kwa ufupi historia ya mwanamuziki Man Fongo, ambaye ni mmoja wa watu ambao wameufanya muziki wa Singeli ukasisimua nchini.  Ingawa Man Fongo na wenzake wamefanya kazi kubwa kuutambulisha muziki huo ambao sasa unashindana na Bongo…

Kina Samatta wapo wengi tu

Nakumbuka kipindi hicho kabla hatujacheza na Nigeria, kocha wa Taifa Stars aliwaita wachezaji wetu kadhaa wa kigeni. Lilikuwa na bado linabaki kuwa wazo zuri sana.  Timu karibu zote ambazo hivi karibuni zimecheza mechi za kutafuta kufuzu zimeundwa na wachezaji wengi…

Nimtume nani kwa Yusuph Mlipili?

Ilikuwa Jumamosi ya Machi 17, 2018 nchini Misri. Dakika 90 zinamalizika kwa sare tasa katika dimba la Port Said katika mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo Al Masry ya Misri iliikaribisha Simba ya Tanzania.  Ahmed Gomaa na washambuliaji…

Bashe matatani

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…