Author: Jamhuri
Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (1)
‘Wasatwiyya’ ni neno la Kiarabu linalotokana na maneno ‘Wastwu’ na ‘Wasatwu’. Neno ‘Wastwu’lina maana ya kAatikati na neno ‘Wasatwu’ lina maana ya ubora. Kiujumla, neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, katikati na ubora. Katika Falsafa na Usufi, ‘Wasatwiyya’ ni…
Ni kweli hawayaoni au hawataki tu kuyaona? (3)
Katika sehemu iliyopita ya makala hii tuliona jinsi Gavana wa mwisho Mwingereza, Sir Richard Turnbull, alivyomsifia Mwalimu Nyerere baada ya kutembezwa sehemu mbalimbali nchini na kujionea maendeleo ambayo nchi ilikuwa imeyapata katika kipindi cha miaka kumi baada ya kupata Uhuru….
Ufanye nini marehemu anapoacha kesi mahakamani?
Nitoe mfano, ndugu yako amefariki dunia lakini ameacha shauri mahakamani ambalo alikuwa akidai kitu fulani kama haki yake. Yaweza kuwa alifungua kesi kudai ardhi, nyumba, mirathi, mgogoro wa kimkataba, fidia au madai mengine yoyote. Kwa hiyo, tutatazama ni jambo gani…
Acha kubeba mzigo wa wivu (1)
“Wivu ni kansa ya akili’’. – B.C. Forbes Acha wivu. Wivu hautajirishi. Wivu hauna tuzo ya aina yoyote. Wivu ni kubeba msalaba mzito usiokuhusu. Mwandishi B.C. Forbes anasema: “Wivu ni kansa ya akili.” Kama unataka kufanikiwa katika maisha, acha wivu. …
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (14)
Kama si sasa ni lini? Kuna methali ya Kiyahudi isemayo: “Kama si sasa ni lini? Kama si sisi ni nani?” Katika makala hii tutazungumzia sehemu ya kwanza ya methali. Kama si sasa ni lini? Liwezekanalo sasa lisingoje saa ijayo. Liwezekanalo…
Hakuna ziada mbovu
Waswahili tunasema: “Hakuna ziada mbovu.” Hii ni methali kongwe yenye maana kuongezwa jema ni manufaa, kwani hata kama halina kazi sasa, halitakosa kazi baadaye. Ni methali inayotaka tafakuri pana. “Kuongezwa jema” inatokana na asili tatu. Mosi, kutafuta kwa kufanya kazi….