JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vita Kuu ya Tatu itatokana na ugomvi wa maji

Utafiti uliofanywa na wataalamu kadhaa umebaini hali ya kushangaza katika Bonde la Mto Nile.  Wataalamu hao wanasema ubashiri unaonyesha kuwa kiwango cha mvua katika eneo la bonde hilo kitaongezeka lakini kiasi cha maji yanayotiririka katika mto huo mrefu kuliko yote…

Aishi miaka 111 bila kuugua

Si kila kinacholiwa kina faida mwilini. Kuna vyakula vya kujaza tumbo na vingine vya kujenga mwili. Inaelezwa chakula bora ni kile kinachojenga mwili, ambacho ndani yake kunakuwa na virutubisho vya kutosha. Hili ni jambo ambalo limethibitishwa kupitia maisha ya Rachel…

Akiba ya chakula nchini yaporomoka

Shehena ya nafaka zinazohifadhiwa kwenye maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) imepungua sana miaka ya hivi karibuni na kwa karibu miaka minne mfululizo imekuwa chini ya tani 100,000, JAMHURI limebaini. Takwimu za hivi karibuni za taasisi…

Mikopo mingi yatumika kwa mahitaji binafsi

Fedha nyingi wanazokopa Watanzania kutoka vyanzo mbalimbali hutumika zaidi kukidhi mahitaji yao binafsi kuliko kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji na kununua rasilimali kama nyumba na ardhi, utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la nchini Uingereza umebaini. Kwa mujibu wa…

Bandari Tanga yakarabatiwa, yapata sura mpya

Katika mfululizo wa makala za Bandari, leo tunakuletea Bandari ya Tanga ambayo ni miongoni mwa bandari kubwa nchini zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).  Bandari hii inayopatikana kaskazini mwa Tanzania katika pwani ya Bahari ya Hindi…

Ndugu Rais, wanao hatutakubali watu waendelee kukuchafua

Ndugu Rais, kusema ni kukiri na kukana kwa wakati mmoja. Walisema unapokiri kuwa hili ni dirisha, labda hata bila wewe mwenyewe kujua unakataa kuwa huo si mlango, wala si kitu kingine bali unakiri kuwa ni dirisha. Hivyo ndivyo ilivyo akili…