Author: Jamhuri
Uamuzi wa Busara (12)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi watu wanavyolinganisha hali ya kupata uhuru na hali ilivyokuwa kipindi cha mkoloni. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Azimio la Arusha ni jibu la aina ya maswali. Azimio…
Kwaheri Kanali Kabenga Nsa Kaisi
Maisha binafsi ya Kanali Kabenga Nsa Kaisi yalijulikana kwa watu wachache sana, lakini maisha yake ya kikazi yalijulikana vizuri sana katika sehemu zote alizowahi kufanya kazi. Wanaomfahamu na waliowahi kukumbana naye kikazi wanamwelezea kwamba alikuwa ni ‘jembe’ la aina yake…
Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (1)
Hivi karibuni Tume ya Uchaguzi imetangaza na kualika taasisi na asasi mbalimbali wanaotaka kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura waombe kufanya hivyo kwa tume. Ni utaratibu mzuri, tena utasaidia sana wananchi kulielewa suala zima la uchaguzi. Kwa jinsi hali…
Uchumi unakua kwa kasi – Benki Kuu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi pamoja na kuwapo changamoto zinazotokana na kudorora kwa hali ya uchumi wa dunia ambazo zimesababisha kuyumba kwa biashara na uwekezaji duniani. Katika toleo la hivi karibuni la…
Mapato yasaidia kudhibiti deni la ndani la Serikali
Deni la serikali la ndani lilipungua kwa mara ya kwanza mwaka jana katika kipindi cha miaka kumi kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani ambayo hivi sasa yamefikia Sh trilioni 1.6 kwa mwezi, JAMHURI limebaini. Takwimu mpya za…
Sheria ya huduma ndogo za fedha kulinda masilahi ya wanyonge, watoa huduma
Kukosekana kwa sheria ya kusimamia, kuratibu na kuendeleza sekta ndogo ya fedha kwa muda mrefu nchini kumesababisha huduma kutolewa kiholela huku watumiaji na watoa huduma wakiathirika. Kwa mujibu wa Naibu Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Huduma Ndogo za Fedha…