JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania, Marekani zajadiliwa uwindaji wa kitalii kwa njia ya mtandao

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya Marekani kujadili pendekezo la Taasisi…

Waziri Kijaji afungua mkutano wa Uchumi wa Buluu COP29

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya Mkutano wa Pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) mjini Baku, Azerbaijan, ukiwa na agenda inayohusu Uvuvi Endelevu na Uchumi wa Buluu. Lengo la Mkutano huo ni kutangaza…

Serikali kushirikiana na USAID, Ubalozi wa India kuboresha sekta ya afya

Serikali kupitia Wizara ya Afya haitasita wala kusitisha ushirikiano uliopo baina ya ubalozi wa India pamoja na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa nchini Tanzania (USAID) ili kuendelea kuboresha Sekta ya Afya nchini.  Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama…

CCT yasikitishwa changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imelaani vikali changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiwemo kuenguliwa wagombea, vikwazo katika ukukuaji fomu na urejeshaji,mapingamizi ya rufaa, kupotea, kutekwa na kujeruhuwa kwa baadhi ya viongozi Tamko…

Israel yashambulia mji wa Damascus

Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus. Kwa mujibu wa ripoti hii, moja ya majengo hayo yapo katika kitongoji…

Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KUELEKEA maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani December Mosi mwaka huu, idadi ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini inakadiriwa kuwa 1,540,000 kwa mwaka 2022/23 ukilinganisha na takribani watu 1,700,000 mwaka 2016/17 . Hayo yameelezwa leo…