JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi wawakataa watendaji mbele ya DC

Wakazi wa Kijiji cha Picha ya Ndege wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani wamemtaka Mkuu wa Wilaya (DC) hiyo, Filberto Sanga, kuwachukua watendaji wa kijiji hicho na kuwapangia kazi sehemu nyingine. Kauli hiyo ilitolewa na mmoja wa wakazi wa kijiji hicho,…

Ofisa Mtendaji ajeruhiwa kwa mkuki

Mtendaji wa Kijiji cha Vuchama Ndambwe, Jeremiah Daniel, amepigwa na kujeruhiwa kwa mkuki akiwa katika utekelezaji wa majukumu ya kiserikali na mkazi wa kijiji hicho anayetambulika kwa jina la Rashid Juma. Tukio hilo limetokea wiki iliyopita nyumbani kwa mtuhumiwa wakati…

KIJANA WA MAARIFA (14)

Amini kile unachotaka kukifanya na ukifanye Imani ni msingi wa mafanikio ya kitu chochote. Muda wowote unapotaka kuanza kufanya kitu iruhusu imani itembee mbele yako, kwani kuamini kwamba unaweza kufanya jambo fulani ni kama garimoshi lililoingia kwenye reli yake, lazima…

Uamuzi wa Busara (13)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi wananchi wanavyojitetea kwa kupigana lakini wanakwamishwa na ukosefu wa silaha za kisasa na ukosefu wa umoja miongoni mwao wenyewe. Hali hiyo inaelezwa kutokea baada ya mkoloni kuvamia nchi mpya…

Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (2)

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Sura ile ya 2, Kifungu Na. 40 (2) kinasema wazi: “Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais”. Lakini tunaweza kujiuliza iwapo utaratibu huu unainufaisha nchi kama Tanzania na katika vyama…

Mabilionea na hatima ya urais Marekani

Mabilionea wakubwa kumi nchini Marekani wana utajiri wa pamoja unaofikia dola nusu trilioni na athari za utajiri huo tayari zimekwisha kuanza kuonekana katika uchaguzi wa nchi hiyo. Matajiri hao wamejihusisha kwa namna moja au nyingine na uchaguzi huo, huku mmoja…