Author: Jamhuri
Uchunguzi mkali NIDA
Tume tatu zimeundwa kuchunguza ubadhirifu, utendaji, utoaji vitambulisho kwa watu wasio raia na mwenendo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Katika hali ya kushtua, mfanyakazi wa NIDA (jina linahifadhiwa) ambaye ni mke wa mmoja wa…
Wakopeshaji matapeli ‘wawapiga’ walimu bilioni 1.3/-
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mara inaendesha uchunguzi dhidi ya mataeli ambao wamewakopesha watumishi wa umma fedha kwa riba kubwa na kuzalisha mafia yanayofikia Sh bilioni 1.3. Mkuu wa Takukuru Mkoani Mara, Alex Kuhanda ameliambia JAMHURI…
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo watoa tahadhari
Wafanyabiashara wa masoko ya Mchikichini na Kariakoo wameonya kuwa kuna uwezekano mkubwa wa bidhaa zinazouzwa kwa wingi katika maeneo hayo kupanda bei maradufu kutokana na uhaba wa bidhaa hizo ulioanza kujitokeza. Kwa kiasi kikubwa maeneo hayo ni maarufu kwa biashara…
Tanzania kutoa hati ya madini
Serikali imefanikiwa kutimiza masharti ya itifaki namba tano ya azimio la Dar es Salaam la mwaka 2004 inayoweka utaratibu mzuri wa matumizi ya rasilimali, ikiwemo uchimbaji, uchakataji, usafirishaji na uuzaji wa madini. Kutokana na kutekeleza masharti hayo, Tanzania sasa inaruhusiwa…
Kitambulisho cha Taifa kuunganishwa na kadi ya mpiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inajipanga kuingiza taarifa za daftari la kudumu la wapiga kura kwenye mfumo wa Kitambulisho cha Taifa ili ifikapo mwaka 2025 kitambulisho hicho kitumike kupigia kura. Mpango huo umebainishwa na Mkurugenzi wa Habari na Elimu…
Wananchi wawakataa watendaji mbele ya DC
Wakazi wa Kijiji cha Picha ya Ndege wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani wamemtaka Mkuu wa Wilaya (DC) hiyo, Filberto Sanga, kuwachukua watendaji wa kijiji hicho na kuwapangia kazi sehemu nyingine. Kauli hiyo ilitolewa na mmoja wa wakazi wa kijiji hicho,…