JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Arobaini ni mwarubaini (1)

Wakatoliki pote duniani wameanza kipindi cha kufunga siku arobaini. Kipindi hiki kinaitwa Kwaresima na kinafunguliwa rasmi kwa kupakwa majivu kwenye paji la uso. Ni kipindi cha kufanya toba, kufunga, kusali na kutenda matendo ya huruma. Siku arobaini zinaunganishwa na siku…

Waziri Mkuu ruhusuni biashara ya vipepeo Muheza

Miaka mitatu iliyopita katika safu hii niliandika jambo linaloweza kuonekana dogo lakini lenye athari kubwa kwa mazingira na wanadamu. Linahusu wananchi katika Hifadhi ya Asili ya Amani kuzuiwa kusafirisha vipepeo nje ya nchi. Hii si haki. Safu hii ya Mashariki…

Nyumbani kuna kasoro gani?

“Kauli yako utoayo mitaani, inanifikia nduguyo Ingawa unafikiri sikufahamu, unitetayo sikia Nakuonya uongo mbona haithamini elewa Unajitangaza u-mtenda mema, mengi kujisifia ya uongo, Watoto wamekukimbia nyumbani, umebaki na wajukuu pia watasambaa. Iliyobaki nitamuliza shemeji, kuna kasoro gani hapo nyumbani. -Aaah! …

Yah: Misukosuko ya kisiasa nchini ni kama 1953

Kuna wakati ambao ninawaza mpaka kichwa kinataka kupasuka, si kwa sababu yanayoendelea siyajui, la hasha! Bali ni kwa sababu yanakwenda kasi mno na kuniacha nikiwa bado njia panda.  Maisha ni safari ndefu na ukibarikiwa umri mkubwa unafanikiwa kuyaona mengi na…

Mafanikio katika akili yangu (20)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Mchungaji hawa ndio wanaua vipaji vya watu,’’ alisema Zawadi akiwa anaendelea kuchora. “Ni kweli wamempotezea muda sana Noel, hawakuwa wanamlipa na atakuja kufanya mambo makubwa, watamhitaji zaidi,’’ yalikuwa maneno ya mchungaji akimwambia Zawadi….

Mzungu Kichaa aachia albamu nyingine

Mwanamuzi wa Bongo Fleva mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa, ameachia albamu nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Huyu Nani’ akiendeleza safari yake ya muziki ambayo inatimiza miaka kumi hivi sasa. Akizungumza na Club1Xtra ya jijini Nairobi hivi karibuni kuhusu albamu…