JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tuwalipe Polisi, Magereza nauli zao

Wiki tatu zimepita sasa tangu tuchapishe habari ya askari wastaafu wa Jeshi la Polisi kudai mafao yao na kugomea kambini.  Nimefarijika baada ya habari hii Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, afuatilie mafao ya askari…

DRC kupata huduma za afya Tanzania

Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika imetenga zaidi ya Sh milioni 550 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali na kituo cha afya ili kuwasogezea wananchi huduma na kuokoa vifo vya mama na mtoto. Ujenzi huo unahusisha Hospitali ya Ikola iliyopo Karema…

Mwinyi ahimiza amani, umoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka Wazanzibari kuimarisha amani na umoja walionao ili kuleta maendeleo. Akizungumza katika Msikiti wa Ijumaa wa Bweleo, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya Sala…

Bil. 1/- zatengwa jengo la saratani

Serikali imetenga Sh bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya huduma za saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Bugando ili kusogeza huduma katika mikoa minane ya Kanda ya Ziwa. Akizungumza kwa niaba ya waziri mkuu wakati wa…

Stieglers hatarini

Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji.  Mto Rufiji ambao ndio chanzo kikuu cha umeme wa Stieglers (sasa…

Uwekezaji wawaachia umaskini Skauti

Kampuni yachukua eneo lote, wakosa hata pa kusimika Bendera ya Taifa Wakabiliwa na madeni, wakosa uwezo kuwafikia wanachama  Chama cha Maskauti wa Kike Tanzania (TGGA) kimo katika hali mbaya huku kikikabiliwa na madeni makubwa yanayodaiwa kusababishwa na uwekezaji mbovu uliofanywa…