Author: Jamhuri
DAS Mhanga atoa somo kwa watendaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Malinyi KATIBU Tawala wa Wilaya ya Malinyi, Saida Mhanga amewataka Maofisa Maendele ya Jamii wa Kata, Watendaji wa Vijiji na Kata kusimamia Kanuni za Utawala Bora katika kutekeleza wa majukumu yao ya kila siku. Akizungumza katika…
Dk Mabula : Tunatoa onyo kwa wanaopita kuwachafua wenyeviti tuliowateua
Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa MNEC Mhe Dkt Angeline Mabula ametoa onyo kwa watu wasiokitakia mema chama cha mapinduzi kwa kupita katika mitaa na kuanza kuwachafua wagombea wa nafasi ya…
Spika Tulia atembele banda la Tanzania COP29
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema ni wakati sasa umefika kwa Mataifa yanayoendelea kuchukua hatua katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ametoa kauli hiyo…
Makamu wa Rais anadi fursa za uwekezaji sekta ya Uchumi wa Buluu, Azerbaijan
Na Benny Mwaipaja, Baku, Azerbaijan Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameihamasisha sekta binafsi na wadau wengine wa maendeleo wa kimataifa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta ya uchumi wa buluu kwa faida za kiuchumi na…
Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, mmoja afa, 28 waokolewa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwili mmoja na majeruhi 28 wameopolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, mapema leo. Jitihada za uokoaji zinaendelea huku juhudi zikielekezwa kuwaokoa waliobaki chini ya kifusi hicho. Akizungumza baada…