JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TAMISEMI yafafanua malalamiko kuhusu kuenguliwa kwa wagombea

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amefafanua malalamiko yaliyotolewa kuhusu kuenguliwa kwa wagombea mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Mchengerwa ameyasema hayo leo Novemba 16, 2024…

Majina ya majeruhi walionusurika ajali ya kuporomoka gorofa Kariakoo

……………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja na wengine 28 kuokolewa wakiwa wamejeruhiwa katika ajali ya kuporomoka kwa ghorofa iliyotokea asubuhi ya leo, Novemba 16 Kariakoo jijini Dar es…

Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia watano

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IDADI ya watu waliopoteza maisha baada ya kufukiwa na jengo lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es Salaam imefikia watano huku majeruhi waliookolewa wakiongezeka na kufikia 42. Jengo hilo linaelezwa kuporomoka mapema leo Jumamosi Novemba…

Katimba awajengea uwezo watendaji wa vijiji, kata na maafisa maendeleo ya jamii

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi ndugu Khamis Jaaphar Katimba amewajengea uwezo wa kiutendaji Maafisa maendele ya Jamii wa Kata, Watendaji wa Vijiji na Watendaji Kata ili waweze ksimamia na kutekeleza vizuri majukumu yao. Watendaji hao wamefahamishwa majukumu…