JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TEMESA yatupiwa lawama

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Baadhi ya wakazi wa Kigamboni wameiomba serikali kuangalia upya utaratibu wa mfumo wa kadi za kielektroniki kutumika wanapovuka bahari kwa kutumia pantoni. JAMHURI limeelezwa na wananchi hao kwamba mfumo huo umeanza kutumika bila kuwapo…

Serikali yabariki uvamizi wa shamba

MOSHI Na Charles Ndagulla Watu 30 wanadaiwa kuvamia na kuendesha shughuli za kilimo kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 70 katika Kijiji cha Mtakuja, Mabogini, wilayani Moshi. Shamba hilo linadaiwa kuwa mali ya Edward Merishoki, aliyefariki dunia mwaka 1986, sasa…

Anayepata Sh milioni 168 kwa  siku amtishia maisha mbunge 

GEITA Na Antony Sollo  Siku chache baada ya Mbunge wa Sengerema, Khamis Tabasamu (CCM), kuanika kisa cha kutishiwa kuuawa, ni vema tukatafakari kwa kina sababu za kutokea hali hiyo. Akiwa bungeni wiki iliyopita wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati,…

Vijana ni nguvu ya taifa

Taifa lolote duniani linajengwa na nguvu kubwa ya vijana. Wao ndio kundi kubwa na pana katika shughuli za kila siku za binadamu.  Ingia katika fani yoyote utakutana na vijana. Rika hii muhimu inaanzia katika umri wa miaka saba hadi thelathini…

Yah: Hapa ndipo tumefika

Kuna wakati niliwahi kuandika waraka nikauliza baadhi ya maswali ambayo nilidhani waliosoma wangesema hili tulijadili kidogo badala ya kupita kimyakimya.  Haikuwa hivyo, na kwa kweli ninaendelea kuumia sana kwa sababu sioni mahali ambapo tunasisitiza kuacha majungu. Badala yake tunatafuta namna…

Yanayofanyika Mtwara yasiishie huko

Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Rais wa Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, alitoa kauli kali akikemea mtindo wa Tanzania kugeuzwa ‘kichwa cha mwendawazimu’ katika sekta ya michezo kimataifa. Kauli hiyo aliitoa akionyesha kuchukizwa na matukio ya kushindwa mfululizo kwa…