JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

JEHAN SADAT… Mama aliyeleta amani kati ya Misri, Israel

CAIRO, Misri Jehan, mjane wa Rais wa zamani wa Misri, Anwar Sadat, amefariki dunia nchini Misri akiwa na umri wa miaka 87. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la taifa, MENA, Jehan Sadat amefariki dunia Ijumaa ya…

Yah: Nyuma ya pazia ni vilio tupu, lakini tuna furaha

Naomba niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninyi muitikie kwa sauti kubwa: “Kazi iendelee” huku mkijipiga vifua mara tatu.  Tangu wiki jana naugulia maumivu ambayo ninadhani nikishayazoea nitaanza kushangilia badala ya kububujikwa machozi. Leo ni wiki…

KUFUTWA NANENANE 2021… Fursa ya kurejea misingi ya kuasisiwa kwake

ARUSHA Na Thomas Laiser  Februari 10, 2021, Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, alitangaza kufutwa maonyesho ya kilimo, maarufu kama Nanenane, ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka. Lengo la maonyesho hayo ni kutoa fursa kwa wakulima kujifunza mbinu za uzalishaji, kuwakutanisha…

Baada ya Burundi tuelekee DRC

Tanzania imeendelea kuimarisha uhusiano wa kidugu na kibiashara na mataifa jirani baada ya wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku mbili nchini Burundi. Nchi hiyo ni moja ya majirani wanaopakana na Tanzania upande wa magharibi, ikiitegemea sana…

Hujuma?

*Mwezi mmoja tu baada ya Rais kutembelea Kariakoo, soko lawaka moto *Ni nembo ya biashara Tanzania, Mashariki na Kusini mwa Afrika  *Alama ya kihistoria tangu ukoloni wa Mjerumani, Mwingereza hadi Uhuru *Ofisa Ilala asema: ‘Nyaraka muhimu zipo salama, nyingine zipo…

Ya mzee Mwinyi na kauli ya Enock Powell

Dar es Salaam Na Andrew Bomani Kitabu cha maisha ya mzee Ali Hassan Mwinyi kilichozinduliwa hivi karibuni hakika kinathibitisha umuhimu wa viongozi wa nchi kuwa na tabia ya kuandika vitabu kuhusiana na uzoefu waliopata wakiwa madarakani. Kwa vyovyote vile nafasi…