JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Wametuangusha’

*Wananchi wawatupia lawama wabunge kuhusu tozo kwenye miamala *Wamgeukia Rais wakimuomba atafute namna ya kufanya *Profesa wa uchumi adai ingawa ni ngumu, inawezekana *Wakala M-Pesa: Kuna ‘watu’ wanataka kumkosanisha Mama na wananchi *Simu ya Azzan Zungu yawa yamoto, haipokeleki DODOMA…

Mambo ya Nje haijamchukulia hatua Balozi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kushangaza, wiki tatu baada ya JAMHURI kuandika taarifa ya Balozi anayejihusisha na usafirishaji mabinti kwa njia isiyo halali, bado Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa haijachukua hatua yoyote….

Ajuza alea mapacha

*Ni Naomi na Sara ambao walipata majanga siku 11 tu baada ya kuzaliwa *Aishi nao chumba chenye giza, bila huduma ya maji, wala lishe bora *Asema hajawahi kuwa na Bima ya Afya, sembuse watoto hao! BUKOBA Na Phinias Bashaya Naomi…

Makosa ya Miss Tanzania haya hapa

DAR ES SALAAM  Na Regina Goyayi Hatimaye Kampuni ya The Look na Kamati ya Miss Tanzania imeweka hadharani makosa sita yaliyosababisha kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021, Rose Manfere, kuwakilisha nchi katika mashindano ya urembo ya dunia, yaani Miss World. Akizungumza…

Mzee Mpili anapotuongezea siku za kuishi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu   Hebu fikiria unarudi nyumbani au maskani kutoka kazini, umechoka kwa pilikapili za kutwa nzima, kama kawaida unajikuta unashika simu yako ya kiganjani na kuingia katika mitandao ya kijamii.  Mitandao ya kijamii ni liwazo kwa…

Hadhari bidhaa za Kariakoo

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Moto uliozuka na kuteketeza sehemu kubwa ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam huenda ukasababisha athari kadhaa za kiafya kwa Watanzania. Moto huo uliozuka usiku wa Julai 9, mwaka huu, mbali na kuathiri…